Nenda kayaseme haya kwa wakulima wa korosho tuu uone kama utatoka salama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mpuuzi tu, tushamdharau zamani Erythrocyte
Nafikiri kila ukipata nafasi ya kufika nyegezi mshindo iringa!
Huyo jamaa Erythrocyte hakawii kusema jiji la Mbeya latikisika kufuatia mkutano mkubwa wa Chadema ambao haujawahi kutokea tangu dunia iumbwe. Ndio alivyo, tumchukulie hivyo hivyo.Wewe kijana una kipaji cha kujifariji, huku unalia machozi wakati huo huo unaleta hadaa unanikumbusha Chemical Ali
Hiyo tabia yako ya kupenda ndio maana watu hawakupi mialiko!Wewe ni hasara kwa familia yako
In God we Trust
Chadema sajili vijana wenye akili, acheni upuuzi viongozi waliopo hawawezi kubadili chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ester bulaya amekuwekea bundle la mwezi umsifiye yeye tu sasa unatumia kinyume na matumizi yake njaa inatakuhusu!Wewe ni zaidi ya kirusi tu
In God we Trust
😆😆😆😆PhD njaa tupu
In God we Trust
Chadema walikosea kumpinga Magufuli Wananchi hatutawasamehe kwa hili lazima tuwakatae kwenye boks
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mmepanga kumpiga nani risasi??Chadema walikosea kumpinga Magufuli Wananchi hatutawasamehe kwa hili lazima tuwakatae kwenye boks
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwenye boksi la kondo**m, Yesu mwenyewe na mitume wake walipingwa sembuse Jiwe? Acha ufwala!Chadema walikosea kumpinga Magufuli Wananchi hatutawasamehe kwa hili lazima tuwakatae kwenye boks
Sent using Jamii Forums mobile app
JAMAA UNA WIVU KAMA DEMU DUUU!!!!Huyo jamaa Erythrocyte hakawii kusema jiji la Mbeya latikisika kufuatia mkutano mkubwa wa Chadema ambao haujawahi kutokea tangu dunia iumbwe. Ndio alivyo, tumchukulie hivyo hivyo.
Vipi? mbona unaongea kama vile unaota walioko siyo wajinga kama wewe waambie washamba wenzako tume huru inatakiwa tuone hiyo akili unayoitaka iko wapi mshamba weweChadema sajili vijana wenye akili, acheni upuuzi viongozi waliopo hawawezi kubadili chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani Tanzania bado sana kwa maana ya capacity. Serikali haiundwi kwa mtu mmoja mmoja eti Sugu sijui nani. Inahitajika taasisi na watu wenye weledi. Sasa wapinzani wakipewa nchi wataitisha ajira ambapo wanaCCM wanaomba au watachukua expatriates? Sielewi hata wanawezaje kuongoza nchi like legit. Natafuta sentensi inayoonyesha wanaweza katika kichwa changu na sioni kabisa. Napenda mabadiliko lakini hatuwezi kumwondoa pilot kisha tukamweka mkulima na safari iendelee. Nafikiri wenye uwezo wa tathimini watakubaliana nami kuwa ni fact. Tunahitaji mabadiliko ila je tuna watu wa kutosha kuongoza na kuunda serikali madhubuti? Ondoa hawa viongozi wote wa upinzani halafu tafuta chini yake kuna kina nani? Waendesha bodaboda, mama lishe etc. Kwa ujumla utaona ukitoka kwa viongozi ni moja kwa moja wanachama. Chama kitaweza kuongoza na kuunda serikali ikiwa chini ya viongozi kuna tabaka la kutosha la wataalamu na kisha baadae wanachama wa kawaida. Shame, shame Tanzanian politics! CCM jengeeni uwezo upinzani jamani! Sasa hata hawa wapinzani tena wanarudi kulekule tena. Wameona nini? Think broadest! Mawazo yangu tu anyhow.