mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
tokea shule ya msing nimesoma nae bombambili,songea, ruvuma kijana alikuwa mpole haswa nakumbuka kuna siku tulimbebesha mahindi dumla kumi na tano mzigo wa watu sita tukitoa shule kwenda kusaga oya homera tulikupa mitama njoo dm nikwambie mi ni nani ila tulikuoneaIla juma ni mwansiasa mpole na makini sana