Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Keyboard warrior washapaniki [emoji23][emoji23]endeleeni kufanya maigizo shida mtayopata sisi tutaijadili hapa jf na kukupa like za uzalendo mengine utajua wewe na familia yako [emoji23]
Hahaaaaa, naona umewapa za uso Keyboard warriors.
 
Wewe Shangazi i love you
Your browser is not able to display this video.
 
CHAWA MKUBWA WEWE! Eti mlikumbushia kwa spika! Spika mwenyewe ni wale wale wahujumu wa uchumi, haki na maendeleo ya nchi hii!
😀😀😀😃😃. Heti mwenyewe ndio kaona kaongea point, nimemkumbushia spika. Unamkumbusha alieziba masikio kwa maneno.
 
Vijana wanaimba, "...mnatuona nyani." Wanakamatwa na kuswekwa lupango.

Wanaokamata vijana- hata wale wanaowatuma wawakamate - hawawaambii wao wanawaonaje.

Waliohuru wanasema wanavyoona; hata wanavyoonwa na wengine. Wasiotaka kuonwa kama wanavyoonekana; au kusemwa kama walivyo, ndio maadui wa uhuru.

Kumbuka maadui wa uhuru hawako huru. Kama wehu, hujipora hata uhuru wao wenyewe; na hatimaye kuwa watumwa wastahilio ukombozi
 
Wewe ni mjinga na kibaraka! Mtumishi wa kweli atatetea haki!
 
Huu wimbo hauna tatizo lolote. Wameuzuia kwa kuwa wanatuona NYANI tu!
 
Wanatuona nyani tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…