Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba

Ni kweli kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, ila kuwa tyuuh mpolee wapo walio lelewa na baba wakali tena wameishia kushikishwa ukutaa..
 
Hizi maada za ushoga ndio zinachochea haya.....
Mbeya imeshaharibika
Sio Mbeya ni mikoa yote. Afu mbna huko primary cha mtoto.

Waende shule za secondary hasa za boys tupu, wakafanye ukaguzi waone hali ilivyo mbayaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, ila kuwa tyuuh mpolee wapo walio lelewa na baba wakali tena wameishia kushikishwa ukutaa..
Kulelewa na baba mkali sio hoja.
Hoja ni je ukali wake una apply vipi kwenye malezi ya mtoto ?

Baba anatakiwa amfundishe mtoto uwanaume tokea akiwa mtoto,kilichopo watoto hawalelewi kiume
 
Kulelewa na baba mkali sio hoja.
Hoja ni je ukali wake una apply vipi kwenye malezi ya mtoto ?

Baba anatakiwa amfundishe mtoto uwanaume tokea akiwa mtoto,kilichopo watoto hawalelewi kiume
Basi sawaa.
 
Huyo mtoto wa darasa la saba si mtoto tena
Ahukumiwe kama mtu mzima
Yaani anyongwe, anyongwe tena anyongwe tena

Au akatwe kichwa kama wanao jaribu kuingiza unga Saudi Arabia!
Maana hapo huyo mtoto mdogo akikuwa sindio atakuwa shoga jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kulelewa na baba mkali sio hoja.
Hoja ni je ukali wake una apply vipi kwenye malezi ya mtoto ?

Baba anatakiwa amfundishe mtoto uwanaume tokea akiwa mtoto,kilichopo watoto WA KIUME hawalelewi kiume
[emoji106]
 
Kuzaa si kazi, malezi! Wazazi wako wapi hata aende Bibi?!
 
Huyo mtoto wa lasaba amelelewa kiholelaholela/malezi ya kuokoteza haya ni mambo ya aibu mno.Nimejiweka nafasi ya mzazi nahisi unaweza mfanya kitu kibaya ukaishia jela
Watu wa aina yenu huwa mara nyingi sana ndiyo mnabahatika kupata nafasi za kuongoza au kuingia kwenye mipango maalum ya kupambana na tabia hizi na nyingine mbovu. Tatizo huwa ni aina assumptions mlizo nazo na conclusions zenu, huishia kulikomaza tatizo na kuzidi kulipa mile age
 
Shule ni sehemu ya kazi hivyo unabidi uombe muda na sababu ya kukutana na mwalimu mkuu, haiwezekani watu wakajiingilia wapendavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…