Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Jibu swali hilounamuulza nani[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali hilounamuulza nani[emoji3]
Mtoto yoyote anae lelewa na mama tu ni mlendaWatoto ambao wazaz wao wanauwezo wa kulipa ada kubwa wanalelewa kijunior kwahyo wanakua wajinga wajnga wengi
[emoji3581]Asilimia 60+ ni wakina junior ndo wanakuaga mashoga fanya utaft uko uko tandale na manzese ujionee familia za wagumu kutoa shoga ni asmilia 30 nafamilia za kina junior 60% hyo 10% inatobak ni mazngra anayokutana nayo mtoto nje ya nyumban
Ili mtu akiwa anakata gogo uone au?Vyoo vya UMMA havipaswi kuwa na milango inayofunika chini, milango lazima iwe na nasafi kwa chini angalau futi 1 ya uwazi
Kinachokufanya useme haya ni hofu ya usichokijua. Umejawa na hofu sasa unaogopa hata kusikia hizi habari.Mnapublish haya mambo kwa faida ya nani? Kwani huko nyuma haya matukio hayakuwepo? Mna promote nini? Ngese nyie[emoji35][emoji35][emoji35]
Kwa hiyo hapa hii habari imesaidia nini katika kupunguza tatizo? Badala yake inakuza tatizo. Mnayapeeenda wenyewe, mtafukunyuliwa mpaka muelewe[emoji57]Kinachokufanya useme haya ni hofu ya usichokijua. Umejawa na hofu sasa unaogopa hata kusikia hizi habari.
Yaani hauna tofauti na mtoto anapoona wazazi wanagombana anaziba masikio na kufumba macho ili hiyo kero iondoke ila haiwezekani.
Sasa hapo ndipo ulipo wewe. Nadhani itasaidia ukiketi chini ukajifunza na kuelewa mwenendo wa tabia au ni mazingira gani ambayo husababisha hii hali kutokea na hatimae kuleta hii tafrani katika jamii.
Ww ni mjinga sana kwahiyo ulitaka afanyaje akae kimya ama? Huoni kwa ku share kwake habar hii Ina create awareness kwenye jamii na serikali kiujumla kulifuatilia hilo tukio na kuchukua hatua stahiki? Nyie ndio wale unakuta mtoto wako kabakwa/ kulawitiwa mnaficha eti ukitangaza utakuwa aibu!!!Mnapublish haya mambo kwa faida ya nani? Kwani huko nyuma haya matukio hayakuwepo? Mna promote nini? Ngese nyie[emoji35][emoji35][emoji35]
Jamaa nimeshangaa sana nahisi hayuko timamu.Kinachokufanya useme haya ni hofu ya usichokijua. Umejawa na hofu sasa unaogopa hata kusikia hizi habari.
Yaani hauna tofauti na mtoto anapoona wazazi wanagombana anaziba masikio na kufumba macho ili hiyo kero iondoke ila haiwezekani.
Sasa hapo ndipo ulipo wewe. Nadhani itasaidia ukiketi chini ukajifunza na kuelewa mwenendo wa tabia au ni mazingira gani ambayo husababisha hii hali kutokea na hatimae kuleta hii tafrani katika jamii.
Malezi yenu mabaya mjifinya wazungu sana amuwafundish wala kuwakanya wanenu mambo mabaya na mazuri waacheni wafilwe tu sndo mnavotakaKwa hiyo siku hizi kuwa na uwezo wa ku provide kwa familia yako tayari ni ishara ya kuelekea kuwa kwenye ushoga?
Hyo ni private school na kinachochangia huku mbeya wazaz wengi wanawalea watoto wao kijunior junior mtoto anakua mjinga mjinga hata akiombwa trakooo na mwezie mbabe kdogo apingi
Hii ni shule ya Serikali ya mchepuo wa kingereza siyo Private
Lakn wanalipia
... umechapwa za uso kule juu unabaki kuweweseka hujui ushike lipi!Ni yaserikal ndio lakn ni ada inacheza 1m na ushee
Ni swala la kiusalama zaidi ndo maana ukienda vyoo vya umma kwenye majengo makubwa hukuti hivyoIli mtu akiwa anakata gogo uone au?
Yani mtoto wenu alawitiwe then uombe appointment na mwalim mkuu??? Nani alisema kwenda kushtaki jambo shuleni ni mpaka uombe appointment. So ulitaka jamaa apate taarifa mapema aandae uongo wa kusema?Shule ni sehemu ya kazi hivyo unabidi uombe muda na sababu ya kukutana na mwalimu mkuu, haiwezekani watu wakajiingilia wapendavyo.
Wewe jamaa unaonekana una inferiority complex na mbaya zaidi umejenga chuki kwa kila aliyefanikiwa kuwa na kauwezo hata wa kusomesha watoto wake shule nzuri, na kujikimu baadhi ya mahitaji kimaisha.Malezi yenu mabaya mjifinya wazungu sana amuwafundish wala kuwakanya wanenu mambo mabaya na mazuri waacheni wafilwe tu sndo mnavotaka
Huna akili fupi sana we jamaa, nmekupa data 60% ni wale kina junior, 30% ni wale wakina omwana( maisha ya kawaida na chini kabsa) na 10% ni mazingra yote yanayomzunguka mtoto including kanisani, bodaboda, mskitin etc, sasa hapo unawezaje kusema nmebase sehemu moja? Au unahasira za kulawitiwa ukiwa mtoto juniorWewe jamaa unaonekana una inferiority complex na mbaya zaidi umejenga chuki kwa kila aliyefanikiwa kuwa na kauwezo hata wa kusomesha watoto wake shule nzuri, na kujikimu baadhi ya mahitaji kimaisha.
Unatamani wote waishi kama wewe, hivyo ili kuwa discourage na ili usiwe mnyonge umeamua kuishi maisha ya kutunga visa vya kuwachafua wale wanaofanikiwa asubuhi kunywa chai ya 'maziwa na mkate wenye siagi'.
Hilo halitakusaidia kitu. Hao watoto waliofanyiana hayo wote wanasoma shule moja.
Watoto wanaenda misikitini na makanisani huko nako wanafanyiwa hayo, hata madereva wa bodaboda ambao wanatafsirika kutoka familia za chini siku hizi wanafanyiwa hiyo michezo.
Hata wewe kesho tu tutakuona ukipigwa miti na pamoja na hali uliyo nayo.
Hili tatizo ni kubwa pia ni tofauti kabisa kulinganisha na hizo assumptions zenu. Ma mkiandelea na hizo assumptions mtajikuta na nyie mmeshalewa
Sawa junior... umechapwa za uso kule juu unabaki kuweweseka hujui ushike lipi!
Kumbe unajua kuwa sina akili fupi?Huna akili fupi sana we jamaa, nmekupa data 60% ni wale kina junior, 30% ni wale wakina omwana( maisha ya kawaida na chini kabsa) na 10% ni mazingra yote yanayomzunguka mtoto including kanisani, bodaboda, mskitin etc, sasa hapo unawezaje kusema nmebase sehemu moja? Au unahasira za kulawitiwa ukiwa mtoto junior
Kuwa Mkali sio Malezi ya Baba bora.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, ila kuwa tyuuh mpolee wapo walio lelewa na baba wakali tena wameishia kushikishwa ukutaa..