Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto ambao wazaz wao wanauwezo wa kulipa ada kubwa wanalelewa kijunior kwahyo wanakua wajinga wajnga wengiKwa hiyo kulipa na ada kuwa 1m ndiyo vinapelekea wanafunzi kufanya mambo ya kisenge?
Au uelewa wangu bado ni wa kiwango cha chini sana?
Unaelewa kweli hili tatizo ndani ya Jamii?Watoto ambao wazaz wao wanauwezo wa kulipa ada kubwa wanalelewa kijunior kwahyo wanakua wajinga wajnga wengi
Asilimia 60+ ni wakina junior ndo wanakuaga mashoga fanya utaft uko uko tandale na manzese ujionee familia za wagumu kutoa shoga ni asmilia 30 nafamilia za kina junior 60% hyo 10% inatobak ni mazngra anayokutana nayo mtoto nje ya nyumbanUnaelewa kweli hili tatizo ndani ya Jamii?
Haujafika Manzese, Tandale, buza na vijijini ukaone jinsi hili lilivyo tatizo tofauti na mnavyokariri.
Unaweza ukalea mtoto lakini mwishowe na yeye akawa anajilea tofauti na unavyomlea.
KUFUNGWA AU KUNYONGWA KABISA.Huyo Arafat ngui jiwe ni wa kufungwa tu.
Hivi haya mambo n kwel? naonaga kama maigizo..Sio Mbeya ni mikoa yote. Afu mbna huko primary cha mtoto.
Waende shule za secondary hasa za boys tupu, wakafanye ukaguzi waone hali ilivyo mbayaa.
Wewe vipiHuyo mtoto wa darasa la saba si mtoto tena
Ahukumiwe kama mtu mzima
Yaani anyongwe, anyongwe tena anyongwe tena View attachment 2617217
View attachment 2617218
Au akatwe kichwa kama wanao jaribu kuingiza unga Saudi Arabia!
Maana hapo huyo mtoto mdogo akikuwa sindio atakuwa shoga jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
Mnapublish haya mambo kwa faida ya nani? Kwani huko nyuma haya matukio hayakuwepo? Mna promote nini? Ngese nyie[emoji35][emoji35][emoji35]Mtoto mmoja wa kiume ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mkapa iliyopo jijini Mbeya amefanyiwa ukatili wa kulawitiwa na mwanafunzi mwenzie wa darasa la saba shule hapo aliyejulikana kwa jina moja la Arafat.
Mtoa habari hizi amefanikiwa kumuhoji maswali mwanafunzi huyo wakati akifanyiwa vipimo na daktari katika kituo cha Afya Mwanjelwa maarufu kama Ruanda na amekiri kuwa huwa anaingiliwa.
Mwanafunzi huyo amesema kuwa kitendo hicho huwa anafanyiwa shuleni wakati wa mapumziko maeneo ya chooni na nyumbani maana mtuhumiwa wanaishi naye jirani huko Uyole jijini humo.
Mnyetishaji wa taarifa hizi ambaye ni kiongozi wa serikali amesema kuwa familia ya mtoto huyo imechelewa kugundua kuwa kijana wao anafanyiwa unyama huo maana kijana anasema mchezo huo mchafu wameanza kuufanya muda mrefu.
Mwanongwa na nongwa zangu baada ya kutoka hospital na kupata majibu kuwa ripoti ya daktari inadhibitisha kuwa mwanafunzi huyo kaingiliwa nikajibeba kwenda shuleni hapo ili kuonana na mwalimu mkuu.
Na katika safari ya kwenda shuleni tuliongozana na huyo kiongozi wa serikali pamoja na bibi wa mwanafunzi huyo huku wakiwa na ripoti ya Daktari mkononi,basi nikawaacha watangulie wao kuingia kuonana na huyo mwalimu mkuu kisha baadae nikaingia Mimi na kiongozi wa Sumaujata ambaye nilimkuta hapo akiwa anafuatilia tukio hilo.
Kituko kilichotokea kutoka kwa mwalimu mkuu huyo baada ya sisi kuingia na kujitambulisha huku tukiwa na uhakika kuwa taarifa za tukio hilo anazo na huku akiwa ameshika kopi za ripoti ya daktari mkononi alichotujibu nikwamba hana taarifa yoyote na kibaya zaidi tulikuwa hatujamuuliza jambo lolote zaidi ya kujitambulisha tu,lakini akahamaki na kudai hana taarifa yoyote.
Swali ni je kwanini mwalimu mkuu ameshindwa kutoa ushirikiano au naye ni miongoni mwa wanaofurahiya vitendo hivyo?
Pia tulipata nafasi ya kupiga story na Walimu wa pale baada ya mkuu wa shule kutoka walimu walisema hali ni mbaya shuleni hapo na wanaomba kusaidiwa maana imefikia kipindi inabidi waanze kuwasindikiza watoto chooni.
Kwa wale ambao mnawatoto shuleni hapo jaribuni kuwa makini na kuzungumza na watoto wenu.
Kwa Leo niishie hapa,kesho nitakuja na muendelezo wa taarifa hii.
Haya ndio matokeo ya kupinga mari za allah matokeo yake kila kaya sio muda mrefu itakuwa na shoga na kahaba anae ingiliwa mbele na nyuma,kukomesha ushenzi huu nikukubali hukumu za allah yoyote anayefanya ufiraji na mfiraji msagaji kahamba kuwaua tu ndio dawa ya balaa hiliMtoto mmoja wa kiume ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mkapa iliyopo jijini Mbeya amefanyiwa ukatili wa kulawitiwa na mwanafunzi mwenzie wa darasa la saba shule hapo aliyejulikana kwa jina moja la Arafat.
Mtoa habari hizi amefanikiwa kumuhoji maswali mwanafunzi huyo wakati akifanyiwa vipimo na daktari katika kituo cha Afya Mwanjelwa maarufu kama Ruanda na amekiri kuwa huwa anaingiliwa.
Mwanafunzi huyo amesema kuwa kitendo hicho huwa anafanyiwa shuleni wakati wa mapumziko maeneo ya chooni na nyumbani maana mtuhumiwa wanaishi naye jirani huko Uyole jijini humo.
Mnyetishaji wa taarifa hizi ambaye ni kiongozi wa serikali amesema kuwa familia ya mtoto huyo imechelewa kugundua kuwa kijana wao anafanyiwa unyama huo maana kijana anasema mchezo huo mchafu wameanza kuufanya muda mrefu.
Mwanongwa na nongwa zangu baada ya kutoka hospital na kupata majibu kuwa ripoti ya daktari inadhibitisha kuwa mwanafunzi huyo kaingiliwa nikajibeba kwenda shuleni hapo ili kuonana na mwalimu mkuu.
Na katika safari ya kwenda shuleni tuliongozana na huyo kiongozi wa serikali pamoja na bibi wa mwanafunzi huyo huku wakiwa na ripoti ya Daktari mkononi,basi nikawaacha watangulie wao kuingia kuonana na huyo mwalimu mkuu kisha baadae nikaingia Mimi na kiongozi wa Sumaujata ambaye nilimkuta hapo akiwa anafuatilia tukio hilo.
Kituko kilichotokea kutoka kwa mwalimu mkuu huyo baada ya sisi kuingia na kujitambulisha huku tukiwa na uhakika kuwa taarifa za tukio hilo anazo na huku akiwa ameshika kopi za ripoti ya daktari mkononi alichotujibu nikwamba hana taarifa yoyote na kibaya zaidi tulikuwa hatujamuuliza jambo lolote zaidi ya kujitambulisha tu,lakini akahamaki na kudai hana taarifa yoyote.
Swali ni je kwanini mwalimu mkuu ameshindwa kutoa ushirikiano au naye ni miongoni mwa wanaofurahiya vitendo hivyo?
Pia tulipata nafasi ya kupiga story na Walimu wa pale baada ya mkuu wa shule kutoka walimu walisema hali ni mbaya shuleni hapo na wanaomba kusaidiwa maana imefikia kipindi inabidi waanze kuwasindikiza watoto chooni.
Kwa wale ambao mnawatoto shuleni hapo jaribuni kuwa makini na kuzungumza na watoto wenu.
Kwa Leo niishie hapa,kesho nitakuja na muendelezo wa taarifa hii.
PointiUkifatilia vzr asilimia kubwa ya wanaolawitiwa au kuingia ktk ishu za ushoga wengi wao ni wanalelewa na Mama pekee au BIBI yaan BABA anakuwa hayupo ktk circle ya malez.
Mfn hapo tumeona BIBI ndio kaenda huko kufatilia kulawitiwa kwa Mjukuu wake. Wakat kwa hali ya kawaida hilo swala anatakiwa BABA asimame mbele.
Sas kama BABA hauna uangalizi mzuri wa mtt wako hasa wakiume lazima watampiga BORINGO tu.
Ulimwengu unapo ungana kupinga hukumu za allah haya ndio matokeo yake,huyo kijana alitakiwa kuuwawa lakini nani anae kubili?Sema hali ni mbaya sana.. je hivi ndivyo ulimwengu unavyotakiwa kuwa??
Mala nyingi mtoto wa kiume alie lelewa na mamake huwa legelege hata ukamuona mwanaume anashindwa kusamia familia yake chunguza utakuta kslelewa na mama au bibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, ila kuwa tyuuh mpolee wapo walio lelewa na baba wakali tena wameishia kushikishwa ukutaa..
Watu wa Mbeya sasa nao wataanza kuogopwa,maana mwanzoni ilikuwa ni pwani sasa hali inazidi kusambaa...Mtoto mmoja wa kiume ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mkapa iliyopo jijini Mbeya amefanyiwa ukatili wa kulawitiwa na mwanafunzi mwenzie wa darasa la saba shule hapo aliyejulikana kwa jina moja la Arafat.
Mtoa habari hizi amefanikiwa kumuhoji maswali mwanafunzi huyo wakati akifanyiwa vipimo na daktari katika kituo cha Afya Mwanjelwa maarufu kama Ruanda na amekiri kuwa huwa anaingiliwa.
Mwanafunzi huyo amesema kuwa kitendo hicho huwa anafanyiwa shuleni wakati wa mapumziko maeneo ya chooni na nyumbani maana mtuhumiwa wanaishi naye jirani huko Uyole jijini humo.
Mnyetishaji wa taarifa hizi ambaye ni kiongozi wa serikali amesema kuwa familia ya mtoto huyo imechelewa kugundua kuwa kijana wao anafanyiwa unyama huo maana kijana anasema mchezo huo mchafu wameanza kuufanya muda mrefu.
Mwanongwa na nongwa zangu baada ya kutoka hospital na kupata majibu kuwa ripoti ya daktari inadhibitisha kuwa mwanafunzi huyo kaingiliwa nikajibeba kwenda shuleni hapo ili kuonana na mwalimu mkuu.
Na katika safari ya kwenda shuleni tuliongozana na huyo kiongozi wa serikali pamoja na bibi wa mwanafunzi huyo huku wakiwa na ripoti ya Daktari mkononi,basi nikawaacha watangulie wao kuingia kuonana na huyo mwalimu mkuu kisha baadae nikaingia Mimi na kiongozi wa Sumaujata ambaye nilimkuta hapo akiwa anafuatilia tukio hilo.
Kituko kilichotokea kutoka kwa mwalimu mkuu huyo baada ya sisi kuingia na kujitambulisha huku tukiwa na uhakika kuwa taarifa za tukio hilo anazo na huku akiwa ameshika kopi za ripoti ya daktari mkononi alichotujibu nikwamba hana taarifa yoyote na kibaya zaidi tulikuwa hatujamuuliza jambo lolote zaidi ya kujitambulisha tu,lakini akahamaki na kudai hana taarifa yoyote.
Swali ni je kwanini mwalimu mkuu ameshindwa kutoa ushirikiano au naye ni miongoni mwa wanaofurahiya vitendo hivyo?
Pia tulipata nafasi ya kupiga story na Walimu wa pale baada ya mkuu wa shule kutoka walimu walisema hali ni mbaya shuleni hapo na wanaomba kusaidiwa maana imefikia kipindi inabidi waanze kuwasindikiza watoto chooni.
Kwa wale ambao mnawatoto shuleni hapo jaribuni kuwa makini na kuzungumza na watoto wenu.
Kwa Leo niishie hapa,kesho nitakuja na muendelezo wa taarifa hii.
Baba legelege kalelewa na bibi au mama tu chunguza utakuta hivioKulelewa na baba mkali sio hoja.
Hoja ni je ukali wake una apply vipi kwenye malezi ya mtoto ?
Baba anatakiwa amfundishe mtoto uwanaume tokea akiwa mtoto,kilichopo watoto hawalelewi kiume
Za mpera Bro. Unajua balaa la fimbo ya mpera ndugu? Ile kitu haikatiki, haivunjiki aipukutiki, ni hadi uzimie.Zitembezwe fimbo za mninga hapo.
Watasema sheria za kidini zimehamia tz watu wana maana!!Huyo mtoto wa darasa la saba si mtoto tena
Ahukumiwe kama mtu mzima
Yaani anyongwe, anyongwe tena anyongwe tena View attachment 2617217
View attachment 2617218
Au akatwe kichwa kama wanao jaribu kuingiza unga Saudi Arabia!
Maana hapo huyo mtoto mdogo akikuwa sindio atakuwa shoga jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa hiyo siku hizi kuwa na uwezo wa ku provide kwa familia yako tayari ni ishara ya kuelekea kuwa kwenye ushoga?Watoto ambao wazaz wao wanauwezo wa kulipa ada kubwa wanalelewa kijunior kwahyo wanakua wajinga wajnga wengi
Kizazi cha zinaa mama yuko baa anajiuza akizaa watoto anapeleka kwaoKuzaa si kazi, malezi! Wazazi wako wapi hata aende Bibi?!
Baba akiwa mkali ni sawa na hayupo tu kwenye maisha ya mtoto. Jambo la kuelewa hapa ni uwepo wa baba kwenye maisha ya mtoto. Kama baba unakuwa mkali mtoto atakuwa anakukwepa na anaona hana baba ila kuna mtu anamfokea fokea tu kila siku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, ila kuwa tyuuh mpolee wapo walio lelewa na baba wakali tena wameishia kushikishwa ukutaa..