Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba

Kwa hiyo kulipa na ada kuwa 1m ndiyo vinapelekea wanafunzi kufanya mambo ya kisenge?
Au uelewa wangu bado ni wa kiwango cha chini sana?
Watoto ambao wazaz wao wanauwezo wa kulipa ada kubwa wanalelewa kijunior kwahyo wanakua wajinga wajnga wengi
 
Watoto ambao wazaz wao wanauwezo wa kulipa ada kubwa wanalelewa kijunior kwahyo wanakua wajinga wajnga wengi
Unaelewa kweli hili tatizo ndani ya Jamii?
Haujafika Manzese, Tandale, buza na vijijini ukaone jinsi hili lilivyo tatizo tofauti na mnavyokariri.
Unaweza ukalea mtoto lakini mwishowe na yeye akawa anajilea tofauti na unavyomlea.
 
Asilimia 60+ ni wakina junior ndo wanakuaga mashoga fanya utaft uko uko tandale na manzese ujionee familia za wagumu kutoa shoga ni asmilia 30 nafamilia za kina junior 60% hyo 10% inatobak ni mazngra anayokutana nayo mtoto nje ya nyumban
 
Sio Mbeya ni mikoa yote. Afu mbna huko primary cha mtoto.

Waende shule za secondary hasa za boys tupu, wakafanye ukaguzi waone hali ilivyo mbayaa.
Hivi haya mambo n kwel? naonaga kama maigizo..
 
Mnapublish haya mambo kwa faida ya nani? Kwani huko nyuma haya matukio hayakuwepo? Mna promote nini? Ngese nyie[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Haya ndio matokeo ya kupinga mari za allah matokeo yake kila kaya sio muda mrefu itakuwa na shoga na kahaba anae ingiliwa mbele na nyuma,kukomesha ushenzi huu nikukubali hukumu za allah yoyote anayefanya ufiraji na mfiraji msagaji kahamba kuwaua tu ndio dawa ya balaa hili
 
Pointi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, ila kuwa tyuuh mpolee wapo walio lelewa na baba wakali tena wameishia kushikishwa ukutaa..
Mala nyingi mtoto wa kiume alie lelewa na mamake huwa legelege hata ukamuona mwanaume anashindwa kusamia familia yake chunguza utakuta kslelewa na mama au bibi
 
Watu wa Mbeya sasa nao wataanza kuogopwa,maana mwanzoni ilikuwa ni pwani sasa hali inazidi kusambaa...
 
Kulelewa na baba mkali sio hoja.
Hoja ni je ukali wake una apply vipi kwenye malezi ya mtoto ?

Baba anatakiwa amfundishe mtoto uwanaume tokea akiwa mtoto,kilichopo watoto hawalelewi kiume
Baba legelege kalelewa na bibi au mama tu chunguza utakuta hivio
 
Watasema sheria za kidini zimehamia tz watu wana maana!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, ila kuwa tyuuh mpolee wapo walio lelewa na baba wakali tena wameishia kushikishwa ukutaa..
Baba akiwa mkali ni sawa na hayupo tu kwenye maisha ya mtoto. Jambo la kuelewa hapa ni uwepo wa baba kwenye maisha ya mtoto. Kama baba unakuwa mkali mtoto atakuwa anakukwepa na anaona hana baba ila kuna mtu anamfokea fokea tu kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…