Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamlaumu marehemu bila kujua chanzo Cha kuchinjwa?🚮🚮Wakiambiwa waache hawasikii,ona sasaa keshachinjwaa.
Kuna upumbavu mwanaume hawezi uvumilia kamwe japo hicho kiungo sio chake.
Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo Machi 13, 2024 ambapo jirani amesema alisikia kelele kama watu wanagombana lakini baada ya nusu saa kukawa kimya na kuamua kupiga yowe ndipo watu walipojitokeza na polisi kufika wamelibomoa mlango wa chumbani kwao na baada ya kuingia Kilawa alikuwa ameshatekeleza mauaji kwa kumchinja mke wake na kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Bangi inasingiziwa sana mboni kuna watu wanavuta na wako poa tu wewe km ukivuta inakutuma kufanya maasi usitumie acha kutumia bangi haikufaiVitu vinavoongoza kusingiziwa uhalifu Ni pombe, bangi, matatizo ya akili na mashoga [emoji3061][emoji3061]
Sio usomi hapa Factor namba One ni Umaskini Chanzo ni CCM.Watu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako
We fanya research utagundua hiloKanda ya ziwa naona wanawafuata nyendo zenu. Mmepata competition. Mpo vizuri
Nishafanya research nimeona nyie ndio mnaongoza.We fanya research utagundua hilo
Wewe tema mate chini, una takwimu? Upewe mifano ya wanandoa wenye elimu za chuo ama walio katika kipato cha kati/juu waliouna?Watu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako
We naye unapenda kuvamia na kukurupukia posts zangu bila kusoma na kuelewa nilichoandika, sasa hapo unapinga au unakubali, maana naona ulichoandika ndicho nilichomaanisha ila ni kama tena unakandia hiviBangi inasingiziwa sana mboni kuna watu wanavuta na wako poa tu wewe km ukivuta inakutuma kufanya maasi usitumie acha kutumia bangi haikufai
Unaambiwa hata Pombe sio dhambi Ila ulevi ni dhambi, soma kwa makini hapo nimesema Pombe sio dhambi Ila km unakunywa unalewa hio ni dhambi na km ukilewa pombe inakutuma kufanya maasi basi hio ni dhambi kabisa suluhu yake ni kuacha Pombe, the same kwa bangi km unavuta na unakua poa hio sio dhambi na km unavuta alafu inakutuma kufanya maasi basi hio ni dhambi kabisa
Watu hunywa pombe baada ya kazi ya kutwa nzima na watu huvuta bangi baada ya kazi ya kutwa nzima, km wewe kutwa nzima unakunywa pombe na unavuta bangi basi unafanya makosa kuna muda wa kazi kuna muda wa kupumzika na kuna muda wa kupumzisha akili funda moja mbili glass 1 2 sio vibaya ikasindikizwa na mistari Miwili mitatu alafu basi unalala sio unataka ufanye kufuru
Hayo mengine ya matatizo ya akili za ushoga sitaki kuyaongelea
Ungekuwa umefanya ni wazi usingeandika hivi ndio maana nikasema fanya researchNishafanya research nimeona nyie ndio mnaongoza.
Hapo ndo panaweza kuwa pa kuanzia.Kilawa akiwa wapi?
Matapeli wa kidini asilimia kubwa wanatoka huko au unabisha na hiloUngekuwa umefanya ni wazi usingeandika hivi ndio maana nikasema fanya research
Punguza shobo na post zanguUnamlaumu marehemu bila kujua chanzo Cha kuchinjwa?🚮🚮
Utakuwa naugonjwa wa akili
Wahi mirembe haraka usije nawe ukaanza kuua walio karibu yako🙏
Wanawake wana maudhi na kero sana kama huna uvumilivu wa hali ya juu...USIOE.
Na kwa maisha ya sahivi kuoaNdiyo maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili.
kama huna uvumilivu wa hali ya juu...USIOE
Na kwa maisha ya sahivi kuoa
Ni mtihani sana
Ova
Soma tena utaelewa tuWe naye unapenda kuvamia na kukurupukia posts zangu bila kusoma na kuelewa nilichoandika, sasa hapo unapinga au unakubali, maana naona ulichoandika ndicho nilichomaanisha ila ni kama tena unakandia hivi
Mkuu; Umenena vyema lakini pia ujue kuna wakati hata kuwa na Elimu hakuna tija sana juu ya mahusiano esp. kwa walio ndani ya ndoa. Ingia kwenye ndoa uone ndoano zilizopo. Ni majanga.Watu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako