Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili.

Tukio hilo limetokea majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo Machi 13, 2024 ambapo jirani amesema alisikia kelele kama watu wanagombana lakini baada ya nusu saa kukawa kimya na kuamua kupiga yowe ndipo watu walipojitokeza na polisi kufika wamelibomoa mlango wa chumbani kwao na baada ya kuingia Kilawa alikuwa ameshatekeleza mauaji kwa kumchinja mke wake na kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili.

Vitu vinavoongoza kusingiziwa uhalifu Ni pombe, bangi, matatizo ya akili na mashoga [emoji3061][emoji3061]
Bangi inasingiziwa sana mboni kuna watu wanavuta na wako poa tu wewe km ukivuta inakutuma kufanya maasi usitumie acha kutumia bangi haikufai

Unaambiwa hata Pombe sio dhambi Ila ulevi ni dhambi, soma kwa makini hapo nimesema Pombe sio dhambi Ila km unakunywa unalewa hio ni dhambi na km ukilewa pombe inakutuma kufanya maasi basi hio ni dhambi kabisa suluhu yake ni kuacha Pombe, the same kwa bangi km unavuta na unakua poa hio sio dhambi na km unavuta alafu inakutuma kufanya maasi basi hio ni dhambi kabisa

Watu hunywa pombe baada ya kazi ya kutwa nzima na watu huvuta bangi baada ya kazi ya kutwa nzima, km wewe kutwa nzima unakunywa pombe na unavuta bangi basi unafanya makosa kuna muda wa kazi kuna muda wa kupumzika na kuna muda wa kupumzisha akili funda moja mbili glass 1 2 sio vibaya ikasindikizwa na mistari Miwili mitatu alafu basi unalala sio unataka ufanye kufuru

Hayo mengine ya matatizo ya akili za ushoga sitaki kuyaongelea
 
Watu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako
Sio usomi hapa Factor namba One ni Umaskini Chanzo ni CCM.
 
Mbeya , njombe na geita mjirekebishe, kuna haja watumishi wa Mungu kuweka kambi huko na kukemea hizo roho za kuuana.
 
Watu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako
Wewe tema mate chini, una takwimu? Upewe mifano ya wanandoa wenye elimu za chuo ama walio katika kipato cha kati/juu waliouna?
 
Bangi inasingiziwa sana mboni kuna watu wanavuta na wako poa tu wewe km ukivuta inakutuma kufanya maasi usitumie acha kutumia bangi haikufai

Unaambiwa hata Pombe sio dhambi Ila ulevi ni dhambi, soma kwa makini hapo nimesema Pombe sio dhambi Ila km unakunywa unalewa hio ni dhambi na km ukilewa pombe inakutuma kufanya maasi basi hio ni dhambi kabisa suluhu yake ni kuacha Pombe, the same kwa bangi km unavuta na unakua poa hio sio dhambi na km unavuta alafu inakutuma kufanya maasi basi hio ni dhambi kabisa

Watu hunywa pombe baada ya kazi ya kutwa nzima na watu huvuta bangi baada ya kazi ya kutwa nzima, km wewe kutwa nzima unakunywa pombe na unavuta bangi basi unafanya makosa kuna muda wa kazi kuna muda wa kupumzika na kuna muda wa kupumzisha akili funda moja mbili glass 1 2 sio vibaya ikasindikizwa na mistari Miwili mitatu alafu basi unalala sio unataka ufanye kufuru

Hayo mengine ya matatizo ya akili za ushoga sitaki kuyaongelea
We naye unapenda kuvamia na kukurupukia posts zangu bila kusoma na kuelewa nilichoandika, sasa hapo unapinga au unakubali, maana naona ulichoandika ndicho nilichomaanisha ila ni kama tena unakandia hivi
 
Soma tena utaelewa tu
 
Watu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako
Mkuu; Umenena vyema lakini pia ujue kuna wakati hata kuwa na Elimu hakuna tija sana juu ya mahusiano esp. kwa walio ndani ya ndoa. Ingia kwenye ndoa uone ndoano zilizopo. Ni majanga.
Inatokea kero kwa mwenza wako na akishauriwa, akionywa, akikatazwa na hata "akipapaswa/akifinywa" kidogo haelewi amekaza fuvu. Inafika mahali mwanaume anasema ni afadhali ya jana -ya leo ni kali mno.
Sasa kama mwanaume hana akili ya kujiongeza au akifikiria kuja kugawana pasu kwa pasu ilhali kasota kupata mali na huyo mke , lakini mke ndo huyo tena amekengeuka analeta za kuleta .....ukijazia na kaulevi kidogo ndo yanapojitokeza majanga kama hayo. Usishangae nyuma ya tukio hilo akawepo mwanamke.(wanawake wanasalitiana sana)
Ni ukweli usiopingika kwamba huyo njemba (mume) amejipalia mkaa kwani huenda hukumu kali ikampasa na hakuna anayeunga mkono kitendo chake.
 
Back
Top Bottom