Walimu waachane na adhabu kwa wanafunzi. Kama jamii yenyewe inaona ni ukatili kuadhibu wanafunzi kwa nini walimu waendelee kuadhibu? Shule imezungukwa na nyasi wanafunzi wakasafishe kama adhabu. Kuna kutoa maswali ya kwenye mazoezi yao ya kujifunza wapewe adhabu hizo. Na kama mwanafunzi ameshindikana mzazi wake atavuna alichomlea mtoto wake