DOKEZO Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

DOKEZO Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna mwalimu mmoja hapa anawaambia watoto waende kula Bata bichi. Yaani ticha anahubiri Bata,anaenda na mkoba wake darasani umekaa vipodozi na anawapa watoto wambebee Mana unakuwa mzito mno. Mara anadai siku hizi matak00 yanaitwa wowowwooo ,kweli jamani hizi ndio taaluma za mwalimu.
Wewe ni mwalimu au mwanafunzi?
 
Walimu wajinga sana, serikali inawaibia pesa zao kila siku hawaichapi wanamaliza hasira kwa mwizi wa maandazi.
 
Huyu uso unaonesha ni mwizi alafu kwa mtu aliyepigwa tungeona Alama mbavuni possibly ni kweli karuka dirishani ndo maana kaumia goti na hapo kichwani
Walimu achaneni na haya matoto ya watu watajua wazazi wao nie lipweni mishahara muendelee kula raha
 
Kwanza kabisa je nikweli kwamba ameiba? Kama kaiba hayo maandazi kaibia wapi? Niyanani? Alipoambiwa kaiba alijibuje?
Je kama alitaka kupiga walimu nao wakajitetea shida ipo wapi?
Ilikuaje akataka kutokea dirishani?
Naona kama habari nizaupande mmoja zaidi hebu tujue kwaupande wa washambuliaji wanasemaje kuhuàe kuhusu kutifuana mangumi?
 
Maadili jamani maadili, angekuwa mtaani Wananchi wenye hasira kali wangemmaliza
Huyu dogo kwa kumtazama tu unagundua kitu.
Pili dogo ni mwangake...cc mnyaki...malizieni.
Kuna wakati walimu wanatwishwa mizigo mizito.
Unafikiri kwanini geti lifungwe?
Alitaka kutoroka kwanini?

Huyo mwanafunzi ni jeuri
 
Unataka lea wezi
Hawana mamlaka ya kujichukulia sheria mikononi, kama ni mwizi peleka polisi sio kupiga kama unapiga ng'ombe.

Hakuna sababu yeyote itakayohalalisha kitendo cha watu wazima zaidi ya mmoja kumshambulia kijana ambae hawezi hata kujitetea. Hata kama mwizi, unahisi kipigo alichopewa ni sawa na thamani ya maandazi 4? Kama angeiba simu si ndio watu wangekuta maiti kabisa?

Unahisi ingekuwa ni mtoto wako kafanyiwa hivyo ungekuwa na mtazamo huo huo ulionao sasa? Kama kweli hao walimu ni watakatifu sana kwanini wabadilishe story juu ya hasa kilichotokea kiasi cha kudanganya kuwa mtoto kaanguka ilhali wauguzi wamekiri kuwa ni kipigo?
 
Akili yako finyu ndo inakwambia kwamba ukimpiga ndo unakuwa umesolve tatizo???
aidha ni mwalimu ama hana mtoto. Mtu yeyote anaefikiria rationally hawezi ku comment kitu kama hicho baada ya kuona hali ya huyo mtoto sababu ya kipigo.
 
Hawa walimu kwani hawakusikia yaliyomkuta mwenzao.

Hivi kumpiga mtoto kipigo kama mwizi inasaidia nini zaidi ya kuhatarisha ajira na usalama wako. Mtoto kakosa tafuta adhabu ngumu mpe ukiona haitoshi akapumzike nyumbani na wazazi wake.

Hata kama kaiba ila sio kumpiga hivyo.

Hawaoni wenzao wengine wanaishia jela au kufukuzwa kazi kwa ujinga huu huu na bado wanauendeleza.
Kweli sikio la kufa halisikii dawa.
Soma vizuri hapo juu, dogo aliiba na akachezea bakora ,baada ya kufungiwa room dogo ndio akavunja dirisha na hapo ndipo alipopata hayo majeraha ya mguu na usoni.

Sasa ndio ujue huyo ni mwanafunzi wa aina gani
 
Kadri siku zinavyoenda nazidi kujifunza kuwa Watu wa Songwe na Mbeya wanajua sana kutengeneza matukio ya Uongo yawe kweli. Tangu nione yule Mwanafunzi aliyedai kupigwa mateke na ngumi na Mhe. DC huku akisoma script ya maelezo siwaaaaamini tena. Wanakuza kizazi cha hovyo sana ama tuseme ni jadi yao kupenda kupaka chumvi?
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

Walimu mtatuuwa, yani siku hizi lawama zimekuwa nyingi kwa sababu ya matukio machache kama haya.
 
Back
Top Bottom