The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mbeya Linawashikilia Watuhumiwa Wawili Ambao Ni Ramadhan Tembo Mwakilasa (28) Na Mariamu Charles Mwashambwa (28) Wote Wakazi Wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya Kwa Tuhuma Za Mauaji Ya Mtoto Wao Chloy Ramadhan (04).
Kwa Mujibu Wa Kamanda Wa Polisi Mkoani Mbeya Benjamini Kuzaga Tukio Hilo Limetokea Novemba 25, 2024 Saa 2:00 Usiku Huko Mtaa Wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya, Ambapo Mtoto Huyo Alifariki Dunia Baada Ya Kupigwa Fimbo Sehemu Mbalimbali Za Mwili Wake Na Wazazi Wake Hao, Baada Ya Kujisaidia Kwenye Nguo Alizokuwa Amezivaa.
Soma pia: Mbeya: Amchoma mtoto kwa petroli na kumsababishia majeraha kisa Elfu kumi
Kamanda Kuzaga Amesema Jeshi La Polisi Linawataka Wazazi/Walezi Kuacha Vitendo Vya Kujichukulia Sheria Mkononi Dhidi Ya Watoto Pindi Wanapokosea Na Badala Yake Watumie Njia Sahihi Na Salama Kuwafundisha Au Kuwaelekeza Bila Kusababisha.