Pole sana mkuu hapo lazma uwaze saana.Haya mambo Yanatisha sana.
Naogopa sana maana Baba yangu ni mtu yupo Kwenye siasa , Huwa nawaza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu hapo lazma uwaze saana.Haya mambo Yanatisha sana.
Naogopa sana maana Baba yangu ni mtu yupo Kwenye siasa , Huwa nawaza sana
Ni JPMHii sumu ya "kifo ni kifo tu" aliyoipanda Sa100 hadi kufikia 2025 atavuna alichokipanda
Mi nadhani Alisha shauriwa na wao kupitia gazeti la uhuru:-Samiah sitogombea urais 2025!Uwezo wao wakumshauri ni mkubwa mno..na ni nadra kubishana nao,wanaiona inchi kwa upeo mkubwa mno kuliko yeye...president ni mwanasiasa tu,wapo wataalam
Civil wars hapana!Tabia ya kuibiana kura mamlaka zisipochua hatua kukomesha Hilo itazaa roho ya revenge mwisho wake itakuwa massive protest na mwisho mripuko w civil wars
Chaguzi zimegeuka vita.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.
Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.
"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Naam, hawa ndio vijana wanaotegemewa na CHADEMA. Unakipongeza chama chako kwa kufanya mauaji.kama ni chadema pongezi zao.
Polisi na CCM ni kitu kimoja sasa kama wakiamua kuuana unataka sisi tuseme nini ? Ndugu wakigombana wewe chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune, kifupi hayatuhusu wacha wauane tu kwa vile wote ni hayawani.Ingekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.
Sahihisho : CCM wakiuana siyo CCM wakiuliwa, nani anaweza kumuua mwana CCM wakati wanalindwa na dola? Hao wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa vile wana uzoefu wa kuua, sasa kama wanyama huko mbugani wakiuana si ni jambo la kawaida tu ndiyo maisha yao na wala siyo habari.Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
naam kama nyie mlishindwa kukisemea chama chenu basi hawa pongezi zao. Jino kwa jino. Hujanielewa tulia pita vileNaam, hawa ndio vijana wanaotegemewa na CHADEMA. Unakipongeza chama chako kwa kufanya mauaji.
Mhemko kama kawa😁😁😁naam kama nyie mlishindwa kukisemea chama chenu basi hawa pongezi zao. Jino kwa jino. Hujanielewa tulia pita vile