TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

Tabia ya kuibiana kura mamlaka zisipochua hatua kukomesha Hilo itazaa roho ya revenge mwisho wake itakuwa massive protest na mwisho mripuko w civil wars
 
Uwezo wao wakumshauri ni mkubwa mno..na ni nadra kubishana nao,wanaiona inchi kwa upeo mkubwa mno kuliko yeye...president ni mwanasiasa tu,wapo wataalam
Mi nadhani Alisha shauriwa na wao kupitia gazeti la uhuru:-Samiah sitogombea urais 2025!

Yes alikanusha ushauri huo to na rasmi akaingia mzigoni ,Hadi leo ndio haya yanatokea Kwa wapinzani na ndani ya chama!
 
Tabia ya kuibiana kura mamlaka zisipochua hatua kukomesha Hilo itazaa roho ya revenge mwisho wake itakuwa massive protest na mwisho mripuko w civil wars
Civil wars hapana!

Wat deal na muhusika kabla hatujafikia huko!!

Aliambiwa "uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri katiba mpya" lakini Waka force!

"Original plan in and out,code PJLK Operation is on!

Sisi wasomaji hatujui execution yake ipoje!

Yetu macho na masikio!!
 
Chaguzi zimegeuka vita.
Vifo kama tupo Pakistan.
 
Mkt UVCCM TAWI la " Machinjioni".

Majina ya kata, mtaa, mji yazingatiwe.
 
Ingekuwa kauawa kiongozi wa chama pinzani tayari wangesema kauawa na polisi kwa maelekezo ya rais Samia. Lakini kwakuwa aliyeuawa ni kiongozi wa chama tawala hamna maneno mengi ya kulaumu polisi na rais Samia na waziri Masauni.
Polisi na CCM ni kitu kimoja sasa kama wakiamua kuuana unataka sisi tuseme nini ? Ndugu wakigombana wewe chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune, kifupi hayatuhusu wacha wauane tu kwa vile wote ni hayawani.
 
Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
Sahihisho : CCM wakiuana siyo CCM wakiuliwa, nani anaweza kumuua mwana CCM wakati wanalindwa na dola? Hao wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa vile wana uzoefu wa kuua, sasa kama wanyama huko mbugani wakiuana si ni jambo la kawaida tu ndiyo maisha yao na wala siyo habari.
 
Ndugu zangu,huu mradi wa kuibiana kura usipodhibitiwa, narudia ,usipodhibitiwa Kuna roho wa revenge (kisasi) anatengenezwa kwa nguvu sana,yaani asipodhibitiwa,tegemee I massive protest,kwa sababu kuporana ushindi kutakuwa kumekithiri, huenda explosion ya civil wars hususani kuanzia uchaguzi ujao,kuviziana nyumbani,ofisini ,barabarani kutaongezeka sana
 
Naam, hawa ndio vijana wanaotegemewa na CHADEMA. Unakipongeza chama chako kwa kufanya mauaji.
naam kama nyie mlishindwa kukisemea chama chenu basi hawa pongezi zao. Jino kwa jino. Hujanielewa tulia pita vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…