TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

Pole kwa familia, ndugu na jamaa wa marehemu

Huwezi kusikia haya mambo kwa upande wa Zanzibar
 
Apumzike kwa amani, wale waliodhulumu uhai wake, watapata malipo yao.

Inasikitisha mnoo, unatoaje uhai wa mtu!? 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…