Pre GE2025 Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

Pre GE2025 Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,236
Reaction score
1,546
Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.

Ni maandamano ya kutoka Uyole.

Naibu Waziri Mkuu anazomewa

Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.

Mbeya sio mchezo.

Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni baada ya Wananchi kugoma.

Lissu awaambie Waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.

 
Ndio maana njia huwa zinafingwa wakati wa maandamano. Kitendo cha kutaka kumpitisha naibu waziri mkuu kwenye maandamano ya chadema ni kutaka kuchochea vurugu.

Ila Nafikiri ujumbe ameupata.
 
Polisi wanalazimisha naibu waziri mkuu apite. Wananchi wamegoma.

Ni maandamano ya kutoka Uyole.

Naibu waziri mkuu anazomewa

Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa naibu mkuu una magari kama 50.

Mbeya sio mchezo.

Naibu waziri mkuu kapitishwa pembeni baada ya wananchi kugoma.

Lissu awaambie waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
Lissu awaambie waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.[emoji419][emoji375]
 
Back
Top Bottom