Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Umeiona ambulance hapo?Kwa hiyo hata ambulance Ina mgonjwa mahututi mtazuia na kuirushia Mawe au kuipisha?
Teh teh bei ya sukari haikuhusu..haya bana vimbiwa tu hapo kwa shemeji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeiona ambulance hapo?Kwa hiyo hata ambulance Ina mgonjwa mahututi mtazuia na kuirushia Mawe au kuipisha?
Aiseee, mbona mbowe hakuheshimu ratiba ya rais kwenye Manyara kwenye mafuriko.?Maandamano huwa na ratiba yake, barabara yake na muda maalumu. Huo msafara w Naibu Waziri Mkuu una ratiba na hiyo ruti?!
Kila mmoja anawajibika kutimiza haki yake bila ya kuingilia haki za wenzake, Chadema na wafuasi wake wanayo haki ya kuandamana inalindwa kikatibu na wamepewa haki hiyo kwa utaratibu ambao hautaathiri haki za wengine za kutumia barabara na kuendelea na shughuli zao nyengine.Huo msafara ungesubiri kwani Chadema ilisha ruhusiwa...Viongozi wajifunze kustaraabika
Tunakuwa kama primitivu
Watu ndo tunaokuza mambo, Chadema waandamane kwa amani huku wakiheshimu haki za wengine za kutumia Barabara, na Polisi wanaongoza kuhakikisha kila kundi linatekeleza haki yake na wajibu wakeKutumia msafara wa Naibu waziri mkuu ku interfere maandamano siyo Jambo lenye afya na linadhalilisha ofisi ya waziri mkuu, msafara wa Waziri mkuu siyo wa ghafla hivyo ni wazi wakuu wa usalama Barabarani walikuwa na taarifa kabla, walichotakiwa kufanya ni kutafuta njia mbadala au kupishanisha muda wa maandamano na msafara.
Tutakua taifa la Aina gani? Leo CCM, ACT, Wakristo, Waislamu watake kuandamana kuwasilisha ujumbe wao Barabara zifungwe kwaajili yao? Sio kweliWakati mwingine wananchi tuwe wakali. Shusha hao wajinga, piga gari kiberiti. Siku zote kunapokuwa na maandamano, magari inabidi yasubiri.
Swali zuri sana, Yaani sababu wao wanaandamana wanatamani shughuli zote zisimame, kuna muda unaweza kuwaunga mkono watawala kuweka zuio za mambo kama hayaHv kwann hao wengine wajiepushe na hayo maeneo wakati mlishasema ni maandamano ya amani, kwahy watu wasiendelee na majukumu yao kisa maandamano yao.?
Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Nadhan kumpitisha Biteko hapo ni setup ya mfumo kutest hamasa za waandamanaji na Biteko ametolewa kama chambo bila yeye kujiua.Polisi wanalazimisha naibu waziri mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu waziri mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu waziri mkuu kapitishwa pembeni baada ya wananchi kugoma.
Lissu awaambie waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
Nilikuwepo aisee nao wa msafara wamezingua sanaAmani imerudi baada ya msafara wa naibu wa waziri mkuu kupita.
Tundu kahutubia na sasa msafara unaendelea kawaida.
Nafikiri kuna kitu wamejifunza kwamba watu wako serious. Waligoma kabisa kumpiga Biteko.
Huko watu hawanaga masiara kikwete ana kumbu kumbu zake kichwani pale tunduma
Mbona nipo uyole sioni kitu wakuu?Biteko kaingizwa choo cha kike , Mbeya siyo Geita
Maandamano popote pale duniani kikawaida barabara hufungwa kama waandamanaji ni wengi.Tutakua taifa la Aina gani? Leo CCM, ACT, Wakristo, Waislamu watake kuandamana kuwasilisha ujumbe wao Barabara zifungwe kwaajili yao? Sio kweli
Kwa hiyo naibu waziri ni mgonjwa au maiti? Unafananisha embe na mihogo?Kwa hiyo hata ambulance Ina mgonjwa mahututi mtazuia na kuirushia Mawe au kuipisha?
Taarifa za Polisi za kukubali haya maandamano hazikuonyesha barabara zilizopangwa zitakuwa za maandamano pekee kwa siku na muda husika, taarifa zinaonyesha barabara itatumiwa upande mmoja na mwengine utatumiwa na watu wengineNaibu Waziri ni mtu mmoja, maandamano ni ya maelfu ya watu. Kwa nini Naibu Waziri asiheshimu wananchi walio wengi? Polisi wana taarifa na details zote za barabara gani watatumia waandamanaji, na muda gani, kwa nini wasimtafutie alternative road kuliko kuwasumbua waandamanaji na kuharibu mpangilio.
Nina video nyingi Iła nashindwa ku attach. Moderator Nitumie namba nikutumie WhatsApp