Sahihi copy iwafikie Chadema una akili nyingi sana ushauri wako uzingatiwe Kwa waandaa maandamano wote wawe Chadema au yeyote Bila kujali itikadi nkWatu ndo tunaokuza mambo, Chadema waandamane kwa amani huku wakiheshimu haki za wengine za kutumia Barabara, na Polisi wanaongoza kuhakikisha kila kundi linatekeleza haki yake na wajibu wake
Ushauri wako umeenda shule na wa kitaalamu Shukrani