Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilitimba tu mkuu, yaani waziri wa nishati huku ni vice pm yaani vurugu tu.Ila hii nchi kwa kweli ni shida. Vyeo vingine kwa nchi masikini kama hii ni matumizi mabaya ya fedha. Cheo cha Naibu waziri mkuu ni cha nini hasa, ina maana Waziri mkuu ana kazi nyingi sana au.
Sahivi kimekua chama cha kihunihuniWameua ile harakatii
Yule mhutu naye ana kiburi kama jiwe lakini ndiyo ameiona nguvu ya ummaViongozi wetu wengi akili zao ni fupi sana, kwani wangepaki pembeni kupisha maandamano yapite then waendelee na msafara wao kulikuwa na shida gani?.
Inamaana msafara wa huyo PM haukujua Kuna nini kilikuwa kinaendelea Mbeya kiasi cha kuwa na timing?
imeshakuwa sababu hata kama watu walikuwa hawatoshi. ukweli usemwe, sasaivi hatuna chama pinzani, tangu mbowe awe rafiki wa ssh, upinzani umekufa. ni wakati kwa samia kujenga nchi sasa kwasababu hakuna upinzani kabisa, ameshawamudu. ajenge legacy ili awe tofauti na marais wengine.Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu Waziri Mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni baada ya Wananchi kugoma.
Lissu awaambie Waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
View attachment 2910071
Kwa akili zako kama hapo nani ameleta vurugu?.Duh kumbe chadema wanaandama leo haki jamaa wamefulia labda hizi vurugu watapata kiki ila wabongo wamewakataa
🤣🤣🤣 Kashiriki maandamano sio kaingilia!Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu Waziri Mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni baada ya Wananchi kugoma.
Lissu awaambie Waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
View attachment 2910071
Kwani wapinzani wanazuia Marais kufanya maendeleo!?imeshakuwa sababu hata kama watu walikuwa hawatoshi. ukweli usemwe, sasaivi hatuna chama pinzani, tangu mbowe awe rafiki wa ssh, upinzani umekufa. ni wakati kwa samia kujenga nchi sasa kwasababu hakuna upinzani kabisa, ameshawamudu. ajenge legacy ili awe tofauti na marais wengine.
Sio utani, wapo waliokuwa mbele ya mstari waliadhimia kufanya shughuli zisimame.Yaani sababu wao wanaandamana wanatamani shughuli zote zisimame, kuna muda unaweza kuwaunga mkono watawala kuweka zuio za mambo kama haya
Uliwahi kubabwa katika makuzi yako?Duh kumbe chadema wanaandama leo haki jamaa wamefulia labda hizi vurugu watapata kiki ila wabongo wamewakataa
Huyo bwana anataka tuamini misafara ya DAB haizuii watu wala mikutano ya CCM isipokuwa Chadema..la msingi ni kila upande kutoa nafasi kwa mwenzake.
..tukishajenga utamaduni wa KUHESHIMIANA hakuna kitakachoharibika.
..baada ya tukio hili la Naibu Waziri Mkuu kupishana na maandamano bila amani kuvunjika nina imani hata Waziri Mkuu, Makamu, na Raisi, wanaweza kupita eneo lenye maandamano bila tatizo kutokea.
Cc Nguruvi3, Pascal Mayalla
Mfalme suleman alikua na akili ila wewe nikama hamna kitu.pole sana.imeshakuwa sababu hata kama watu walikuwa hawatoshi. ukweli usemwe, sasaivi hatuna chama pinzani, tangu mbowe awe rafiki wa ssh, upinzani umekufa. ni wakati kwa samia kujenga nchi sasa kwasababu hakuna upinzani kabisa, ameshawamudu. ajenge legacy ili awe tofauti na marais wengine.
Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Kipekee RPC anastahili pongezi hasa pale msafara wa Biteko ulipokutana na maandamano yaliyokuwa yanaongozwa na Lissu kwa kumpitisha Biteko pembeni barabara ya vumbi na kumuachia Lissu na waandamanaji barabara kuu ya lami. Kama RPC angeng'ang'ania kumpitisha Biteko barabara ya lami basi lo lote lingeweza kutokea kwani Lissu alikwisha kutoa amri kwa waandamanaji kutokupisha barabara.Viongozi wetu wengi akili zao ni fupi sana, kwani wangepaki pembeni kupisha maandamano yapite then waendelee na msafara wao kulikuwa na shida gani?.
Inamaana msafara wa huyo PM haukujua Kuna nini kilikuwa kinaendelea Mbeya kiasi cha kuwa na timing?
Sema wewe umewakataa utawasemeaje wengine.Duh kumbe chadema wanaandama leo haki jamaa wamefulia labda hizi vurugu watapata kiki ila wabongo wamewakataa
Nyie ni wapumbavu, mnaandamana kutaka nini?wenzenu wanakula ruzuku wanapiga picha wanasema chama kina wafuasi tuko kazini wanatuma nje na kwenye habari wanadaka chao.Rubbish, maandamano haya yametangazwa siku nyingi na njia zimetangazwa. Kwanini anasubiri kuvuruga maandamano ? Eti naye huyo ni PM wa kesho.....