Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Aliyevuruga amani ni Biteko. Angetafuta njia nyingine ya kupitaKwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyevuruga amani ni Biteko. Angetafuta njia nyingine ya kupitaKwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Kifupi haitajirudia Tena waziri anayelalamikiwa Kwa tatizo lolote akapite kwenye maandamano.CCM walimpeleka Biteko Kwa makusudi kupima kama hao waandamanaji kama wanaelewa kero za wananchi na kuziwakikisha..kama wamemtupia chupa za maji watakuwa wamekosea.
..wamepatia kwa kumruhusu apite aendelee na shughuli na majukumu yake.
..wangemsimamisha Naibu Waziri Mkuu na kuanza kumhoji wangeweza kutuhumiwa kwa makosa ya kuzuia msafara wa kiongozi mkuu.
..Utamaduni mpya umejengeka kwa tukio hili. Sasa sitegemei tena kusikia maandamano na misafara ya viongozi haiwezi kutumia njia moja.
Wenye shida ni usalama na polisi kwann wampitishe njia ya maandamano angefanyiwa furugu hapa wangejibu nini?Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Yupo songwe huyo ananauli ya kuja mbeya? Labda avune maharagweMbeya ni mfupa mgumu kwa CCM
CCM wamemnunua Lucas mwashambwa ili kuficha hali ya CCM kutokukubalika Mbeya
Na wao sasa wamejiunga na maandamano nyuma wakiwafuata waandamanaji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye maandamano ya kutoka Mbalizi, viongozi wa serikali wakiongozwa na mkuu wa mkoa wamejaribu kutaka kupita Lakini wananchi wamekataa kuondolewa barabarani.
Na wao sasa wamejiunga na maandamano nyuma wakiwafuata waandamanaji.
Kiswahili kigumu sana!Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Aliyevamia hayo maandamano kwa kuendeleza ratiba zake bila kuzingatia ratiba za wananchi ndo ungepaswa kumshauri awe na adabu na hekimaKwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu Waziri Mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni baada ya Wananchi kugoma.
Lissu awaambie Waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
View attachment 2910071
Imewakataza wewe.mm si muumini wa chama chochote lkn hawa ccm watufikisha pabaya.kwa sasa kila kitu ni disaster bora tu tuwe na bunge kama la zamani la akina Lissu, zito,mkosamali,machali,mnyika nk lkn si kwa wabunge hawa wa kila kitu ndiyoooooDuh kumbe chadema wanaandama leo haki jamaa wamefulia labda hizi vurugu watapata kiki ila wabongo wamewakataa
Kifupi haitajirudia Tena waziri anayelalamikiwa Kwa tatizo lolote akapite kwenye maandamano.CCM walimpeleka Biteko Kwa makusudi kupima kama hao waandamanaji kama wanaelewa kero za wananchi na kuziwakikisha
Biteko alipelekwa kupima kama Chadema wanaelewa maana ya maandamano ni Nini na hoja halisi ni Zipi wamewaona wajinga tu
Waziri wa Umeme anapita na ndio kero kuu za wananchi wa Mbeya hutaki kusimamisha msafara unarusha machupa akimbie .Angezingirwa na wananchi kudai umeme hakuna mwananchi angekamatwa wa lolote sababu ni maandamano ya amani kudai Haki ambayo Kila mwananchi wa mbeya anahitaji
Biteko unaibu waziri mkuu kautendea Haki hakupewa Kwa bahari mbaya ana akili nyingi mno kukatiza pale ilikuwa kupima kama Chadema Wana akili na wanajua kupigania maslahi ya wananchi au la wanatafuta tu maslahi ya viongozi wa Chadema
Mtihani huu wa Leo Chadema wamefeli waziri wa umeme kapita katikati Yao badala ya kumhoji kuhusu umeme wamemrushia machupa aondoke Hilo eneo haraka wajinga sana
Kwa jamii inayojitambua na inayotambua Haki za kimsingi za kidemocrasia na utu wa mtu,maandamano ni MOJA ya ya njia ya wananchi kufikisha ujumbe kwa viongozi wao.na ndio maana MH Samia hajaonyesha shida yyte na maandamano haya TOFAUTI NA watu wenye low IQ wanavyo fikiri na walivyokuwa wakifikiri kabla hayajaanza pale mwanzoni.SAMIA SIO DICTETAKwa hiyo hata ambulance Ina mgonjwa mahututi mtazuia na kuirushia Mawe au kuipisha?
Nyie wa huko mbeya tujuzeni, kwani haikuwepo Barbara nyingine ya kupita huyo waziri? Mpaka hapite Barbara iliyotengwa kwa maandamano?Nilikuwepo aisee nao wa msafara wamezingua sana
Kwa hiyo wewe kwa akili yako kubwa unaonaje?barabara ni ya wananchi ama ni ya viongozi?Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?