Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Tena wanarusha na chupa
Kama ni chupa za plastic, wamefanya vizuri sana. Kule kwa waliostaarabika, akipatikana kiongozi aliyekosa ustaarabu hurushiwa hata mayai vinza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wanarusha na chupa
Sio kweli, Maandamano ya Dar barabara hazikufungwa kwa sababu ya maandamano.Maandamano popote pale duniani kikawaida barabara hufungwa kama waandamanaji ni wengi.
Pia polisi wanaweza kuongoza kama waandamanaji wachache ili kutoa nafasi kwa wengine pia kutumia barua.. Lakini kwa maandamano makubwa kama haya Huwezi kuruhusu tena wapinzani wao watumie barabara hiyo hiyo kwa wakati huo huo. Ni hatari mno.
Inatakiwa kuelewa kitu maandamano sio ku block shughuli za wananchi wengine watumia barabara ambao ndio wapiga kura wenu wawe bajaji,bodaboda nk wenye abiria Wao mkipisha Kwa kuacha nafasi wapite mtaumwa malaria au? Mbona Dar es salaam mlikuwa mkipisha magari yaendelee kutumia barabara maandamano yenu? Kwa nini Mbeya mumeblock wakati yake ya kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta mliwapa wenye magari kuendelea na misafara na maandamano yenu mbona mlikuwa mnapisha mnakaa upande magari yapite Kwa Nini Mbeya mumebadilika?Umeiona ambulance hapo?
Teh teh bei ya sukari haikuhusu..haya bana vimbiwa tu hapo kwa shemeji
Ni kwamba nguvu ya wananchi imelishinda jeshi la polisiUtaipata tu baadaye. Ilikuwa hatari kubwa.
Uyole na Mwanjelwa 2008Huko watu hawanaga masiara kikwete ana kumbu kumbu zake kichwani pale tunduma
Asante mkuu. Naomba pandisha na hizo zingine mbili nilizotuma sasa hivi.
Barabara za Dar ni kubwa na waandamanaji hawakuwa wengi sana.Sio kweli, Maandamano ya Dar barabara hazikufungwa kwa sababu ya maandamano.
Teh teh utakuwa unapewa sukari ya bure kwa Sponsa...Kila mmoja anawajibika kutimiza haki yake bila ya kuingilia haki za wenzake, Chadema na wafuasi wake wanayo haki ya kuandamana inalindwa kikatibu na wamepewa haki hiyo kwa utaratibu ambao hautaathiri haki za wengine za kutumia barabara na kuendelea na shughuli zao nyengine.
Maandamano hukatiwa kibali,hupangiwa ruti, hupangiwa muda. Kusalimia wahanga na kutoa pole kunakatiwa kibali na kuwekewa ruti maalumu?!!Aiseee, mbona mbowe hakuheshimu ratiba ya rais kwenye Manyara kwenye mafuriko.?
Kama kule SOWETO....
Kwani waziri alikuwa hajui kama kuna maandamanoKwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Kwanini polisi wali pewa route? Ili wasi ingiliane. Sasa mchokozi hapo ni nani kama siyo Rc na Roc? Tena walitakiwa gari zipigwe mawe maana wame ingilia utaratibu. Siku fahamu kama Biteko na ni tia maji tia maji kichwani.Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
KWA 90% HUU UJINGA UNAZOROTESHA UTENDAJI WA SHUGHULI MBALI MBALI, HAYA MA TAKA TAKA YAWEKEWE UTARATIBU, BUNGE LITUNGE SHERIA MPYA ZA MUONGOZO JUU YA HAYA MA TAKA TAKA, MAKUSANYIKO NA MAANDAMANO YAWE, YANAFANYIKA KATIKA VIPINDI VYA UCHAGUZI MIEZI MITATU KABLA YA CHAGUZI, NA SI KILA UCHAO WALEVI FULANI WANANYANYUKA KUTOKA ULEVINI NA KUTAMKA TUNATAKA KUANDAMANA, VERY STUPIDIY!, KUWE NA MPANGO MADHUBUTI JUU YA UPUUZI HUU, KWA MIDA YAKE MAALUMUPolisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu Waziri Mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni baada ya Wananchi kugoma.
Lissu awaambie Waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
View attachment 2910071
kiongozi ametoka kuhudumia na kusolve shida za watanzania nyie kipumbavu kabisa mnamkwaza. Chapa viboko hawa!
Hapana inabidi mkubali kusikilizia msivyopenda kusikia, ndio ukomavuTeh teh utakuwa unapewa sukari ya bure kwa Sponsa...
Aliempitisha Dotto apo amemuingiza chakike maana Hii ni airtime tosha kwa CDMPolisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu Waziri Mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni baada ya Wananchi kugoma.
Lissu awaambie Waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
View attachment 2910071
Badala wamsimamishe wamwambie umeme ni haki ya kimsingi na mgawo unatuathiri katika maisha yetu, tujuze mgao unaisha lini?Mwambieni mnataka umeme