Kumbe hata midomo nayo inahatarisha amani!.Kwann wanachadema wanazomea na kutoruhusu naibu Waziri mkuu kutokupita, c walisema yatakuwa ni maandamano ya amani.?
Unamzuia mtu kupita kwa mdomo au kitendo.?
Utaipata tu baadaye. Ilikuwa hatari kubwa.Tunaomba hiyo clip Mh. Bitteko akizomewa...
Ndio maana njia za masna hutangazwa ili watu wengine wajiepushe na maeneo hayo.Unamzuia mtu kupita kwa mdomo au kitendo.?
Sasa mbona maandamano yao yana watu wengi?Duh kumbe chadema wanaandama leo haki jamaa wamefulia labda hizi vurugu watapata kiki ila wabongo wamewakataa
Lissu awaambie waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.[emoji419][emoji375]Polisi wanalazimisha naibu waziri mkuu apite. Wananchi wamegoma.
Ni maandamano ya kutoka Uyole.
Naibu waziri mkuu anazomewa
Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa naibu mkuu una magari kama 50.
Mbeya sio mchezo.
Naibu waziri mkuu kapitishwa pembeni baada ya wananchi kugoma.
Lissu awaambie waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
Alidhani atapishwaBiteko kaingizwa choo cha kike , Mbeya siyo Geita
Wakati mwingine wananchi tuwe wakali. Shusha hao wajinga, piga gari kiberiti. Siku zote kunapokuwa na maandamano, magari inabidi yasubiri.Kuna gari za serikali zinapita kwa Kasi kubwa na kutaka kugonga wananchi.
Viongozi wa serikali wanapitisha magari kwa mwendo mkali sehemu watu wanaandamana.