MBEYA NAKUJA

MBEYA NAKUJA

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
941
Kwa wale waliowai kuishi mbeya au wanaishi now ningeoenda kujua hali halisi ya jijini humo .Jamii yake ipoje ,upatikanaji wa chakula upoje,watu wanaishije kijamaa zaidi au kila mtu na mambo yake.Vipi bei za vyakula kila siku hasa kwa mabachelour upoje,watu wa huko hupenda nn hawapendi nn.
Next mounth nahamia huko kimaisha hasa kwa shughuli za kilimo na biashara ,so ningependa wenyeji au wakiowai kukaa mkoa huo wanipe mwongozo kiushauri zaidi.NAWASILISHA
 
Mbeya IPI unayokuja kuishi?
Nambie nkueleze japo mimi si mwenyeji wa mkoa huu lakini nimesoma huku 2003 - 2005 then nimerud nafanya kazi huku toka mwaka 2010. Karibu mbeya
 
Ukifika nitafute kijana mi naishi sai kijiwen kwangu ni Soweto na shughuli za kiselikali ni pale town opposite na kanisa la Roman
Mkuu kumbe ww ni jirani yangu kabisa mm nko msikitin hapa
 
Jaman shida ya huyo ni kupata company hayo mengine ya nini
Maisha Mbeya Ni Rahisi Sana Tena Sana!.
1.Kwasasa Bei Ya Mchele Imepanda Ndo Imefikia 25000 Kwa Debe La Kilo 20
2.Mkungu Wa Ndiz Mkubwa Ni 5000 To 6000
3.Maparachichi,karoti,vitunguu Na Viungo Viungo Ni Cheap Mfano Hakuna Yan Kifup Bwereree
4.Nyama Ya Ng'ombe Leo Ni 4600/kilo Na Mdudu Sh 5000
Niconclude Kwa Kusema Ukiwa Na 70000 Familia Ya Watu 3 Wanakula Vzur Kbs Kwa Mwez Mzma
5.Kod Ya Nyumba Chumba Na Sebule-self Ni 40000 Kwa Mwez Kwa Nyumba Bora

Karibu sana mi nipo uyole
 
Ndaga malafyale karibu mi nipo mwakibete kama unaenda TEKU kwenye store za mwankenja MBEYA hakuna kipindi cha njaa mkuu kodi ya nyumba kama bure hali ya hewa kama upo ughaibuni uiseghe malafyale.
 
Uku msosi sawa na bure hali ya hewa ni mwanana karibu sana jamaa
 
Ukifika nitafute kijana mi naishi sai kijiwen kwangu ni Soweto na shughuli za kiselikali ni pale town opposite na kanisa la Roman
Mkuu nasikia mlango wa pale tangu ulivyo funguliwa wakati wa ufunguzi haujawahi kufungwa.Tujuane mkuu maana pale hapafai kabisa kulala
 
Maisha Mbeya Ni Rahisi Sana Tena Sana!.
1.Kwasasa Bei Ya Mchele Imepanda Ndo Imefikia 25000 Kwa Debe La Kilo 20
2.Mkungu Wa Ndiz Mkubwa Ni 5000 To 6000
3.Maparachichi,karoti,vitunguu Na Viungo Viungo Ni Cheap Mfano Hakuna Yan Kifup Bwereree
4.Nyama Ya Ng'ombe Leo Ni 4600/kilo Na Mdudu Sh 5000
Niconclude Kwa Kusema Ukiwa Na 70000 Familia Ya Watu 3 Wanakula Vzur Kbs Kwa Mwez Mzma
5.Kod Ya Nyumba Chumba Na Sebule-self Ni 40000 Kwa Mwez Kwa Nyumba Bora

Karibu sana mi nipo uyole
Asante mkuu kwa ufafanuzi.
 
Ndaga malafyale karibu mi nipo mwakibete kama unaenda TEKU kwenye store za mwankenja MBEYA hakuna kipindi cha njaa mkuu kodi ya nyumba kama bure hali ya hewa kama upo ughaibuni uiseghe malafyale.
Asante mkuu tutatafutana.
 
Back
Top Bottom