Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 941
Kwa wale waliowai kuishi mbeya au wanaishi now ningeoenda kujua hali halisi ya jijini humo .Jamii yake ipoje ,upatikanaji wa chakula upoje,watu wanaishije kijamaa zaidi au kila mtu na mambo yake.Vipi bei za vyakula kila siku hasa kwa mabachelour upoje,watu wa huko hupenda nn hawapendi nn.
Next mounth nahamia huko kimaisha hasa kwa shughuli za kilimo na biashara ,so ningependa wenyeji au wakiowai kukaa mkoa huo wanipe mwongozo kiushauri zaidi.NAWASILISHA
Next mounth nahamia huko kimaisha hasa kwa shughuli za kilimo na biashara ,so ningependa wenyeji au wakiowai kukaa mkoa huo wanipe mwongozo kiushauri zaidi.NAWASILISHA