Mbeya IPI unayokuja kuishi?Kwa wale waliowai kuishi mbeya au wanaishi now ningeoenda kujua hali halisi ya jijini humo .Jamii yake ipoje ,upatikanaji wa chakula upoje,watu wanaishije kijamaa zaidi au kila mtu na mambo yake.Vipi bei za vyakula kila siku hasa kwa mabachelour upoje,watu wa huko hupenda nn hawapendi nn.
Next mounth nahamia huko kimaisha hasa kwa shughuli za kilimo na biashara ,so ningependa wenyeji au wakiowai kukaa mkoa huo wanipe mwongozo kiushauri zaidi.NAWASILISHA
Wewe ni askari?Ukifika nitafute kijana mi naishi sai kijiwen kwangu ni Soweto na shughuli za kiselikali ni pale town opposite na kanisa la Roman
HapanaWewe ni askari?
Au tanesco???Hapana
Mkuu kumbe ww ni jirani yangu kabisa mm nko msikitin hapaUkifika nitafute kijana mi naishi sai kijiwen kwangu ni Soweto na shughuli za kiselikali ni pale town opposite na kanisa la Roman
Maisha Mbeya Ni Rahisi Sana Tena Sana!.Jaman shida ya huyo ni kupata company hayo mengine ya nini
Mkuu nasikia mlango wa pale tangu ulivyo funguliwa wakati wa ufunguzi haujawahi kufungwa.Tujuane mkuu maana pale hapafai kabisa kulalaUkifika nitafute kijana mi naishi sai kijiwen kwangu ni Soweto na shughuli za kiselikali ni pale town opposite na kanisa la Roman
Yawezekana wewe ni muhimu kuliko hata hiyo anae kujaJaman shida ya huyo ni kupata company hayo mengine ya nini
Aisee mi nipo hapa transformer jirani na lunch time barMkuu kumbe ww ni jirani yangu kabisa mm nko msikitin hapa
HahahaaaaMkuu nasikia mlango wa pale tangu ulivyo funguliwa wakati wa ufunguzi haujawahi kufungwa.Tujuane mkuu maana pale hapafai kabisa kulala
Oooooh poa poa mkuuAisee mi nipo hapa transformer jirani na lunch time bar
Asante mkuu kwa ufafanuzi.Maisha Mbeya Ni Rahisi Sana Tena Sana!.
1.Kwasasa Bei Ya Mchele Imepanda Ndo Imefikia 25000 Kwa Debe La Kilo 20
2.Mkungu Wa Ndiz Mkubwa Ni 5000 To 6000
3.Maparachichi,karoti,vitunguu Na Viungo Viungo Ni Cheap Mfano Hakuna Yan Kifup Bwereree
4.Nyama Ya Ng'ombe Leo Ni 4600/kilo Na Mdudu Sh 5000
Niconclude Kwa Kusema Ukiwa Na 70000 Familia Ya Watu 3 Wanakula Vzur Kbs Kwa Mwez Mzma
5.Kod Ya Nyumba Chumba Na Sebule-self Ni 40000 Kwa Mwez Kwa Nyumba Bora
Karibu sana mi nipo uyole