Mbeya: Ndani ya Februari – Machi 2023 makosa 284 ya ubakaji yameripotiwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Makosa ya udhalilishaji na ukatili yaliyoripotiwa Februari hadi Machi 2023 Mkoani Mbeya jumla ni 284, yakiwemo ya 70 ya ubakaji na Ulawiti matukio 37.

Mchanganuo wa takwimu hizo ndani ya kipindi hicho, Makosa ya Ubakaji; Mbeya Jiji ni 70, Mbalizi (37), Chunya (77), Rungwe (33), Kyera (34) na Mbarali (33).

Makosa ya Ulawiti, Mbeya Jiji (20), Mbalizi (7), Chunya (0), Rungwe (4), Kyera (3), Mbarali (3).

Wizi wa Watoto; Mbeya Mjini (2), Mbalizi, Chunya, Rungwe, Kyera na Mbarali kote (0)

Makosa ya Kutupa Watoto; Mbeya Jiji (5), Kyera (2) kwingine kote hakukuwa na kesi hizo.

Mkuu wa Dawati la Jinsia Mkoa wa Mbeya, Loveness Mtemi amesema “Fikiria makosa yote hayo na hapo ni kesi zilizoripotiwa Polisi, kuna wengine hawajafika Polisi kuripoti, je, jamii yetu ipoje?

"Watoto wanabakwa, wanalawitiwa, mimi na wewe tusimame, tuone hili ni tatizo."
 
Inaumiza sana,tubadilike wanambeya kwa kutoa taarifa mapema tuonapo ama tuhisipo viashiria vya vitendo hivi kwani "mtoto wa mwenzio ni wako" maana vitendo hivi huwakumba hasa hasa watoto.
 
Mrudisheni Sugu hapo mjini hayo matatizo yawe historia.
 
Makosa ya udhalilishaji na ukatili yaliyoripotiwa Februari 2023 hadi Machi 2023 Mkoani Mbeya jumla ni 284, yakiwemo ya 70 ya ubakaji na Ulawiti matukio 37.

Mchanganuo wa takwimu hizo ndani ya kipindi hicho, Makosa ya Ubakaji; Mbeya Jiji ni 70, Mbalizi (37), Chunya (77), Rungwe (33), Kyera (34) na Mbarali (33).

Makosa ya Ulawiti, Mbeya Jiji (20), Mbalizi (7), Chunya (0), Rungwe (4), Kyera (3), Mbarali (3).

Wizi wa Watoto; Mbeya Mjini (2), Mbalizi, Chunya, Rungwe, Kyera na Mbarali kote (0)

Makosa ya Kutupa Watoto; Mbeya Jiji (5), Kyera (2) kwingine kote hakukuwa na kesi hizo.

Mkuu wa Dawati la Jinsia Mkoa wa Mbeya, Loveness Mtemi amesema “Fikiria makosa yote hayo na hapo ni kesi zilizoripotiwa Polisi, kuna wengine hawajafika Polisi kuripoti, je, jamii yetu ipoje?

"Watoto wanabakwa, wanalawitiwa, mimi na wewe tusimame, tuone hili ni tatizo."
Mbeya matukio kama hayo ya ukatili ni jambo la kawaida sana mkuu.
 
Mbeya pia inaongoza kwa makanisa mengi nchini, shida ni nini sasa??
 
Halafu huku Dar Kuna meya wa michongo anataka kufunga madanguro.
Wateja wa madanguro Dar wakianza kubaka hizo takwimu za Mbeya zitakua chantoto.
 
Makosa ya udhalilishaji na ukatili yaliyoripotiwa Februari hadi Machi 2023 Mkoani Mbeya jumla ni 284, yakiwemo ya 70 ya ubakaji na Ulawiti matukio 37.

Mchanganuo wa takwimu hizo ndani ya kipindi hicho, Makosa ya Ubakaji; Mbeya Jiji ni 70, Mbalizi (37), Chunya (77), Rungwe (33), Kyera (34) na Mbarali (33).

Makosa ya Ulawiti, Mbeya Jiji (20), Mbalizi (7), Chunya (0), Rungwe (4), Kyera (3), Mbarali (3).

Wizi wa Watoto; Mbeya Mjini (2), Mbalizi, Chunya, Rungwe, Kyera na Mbarali kote (0)

Makosa ya Kutupa Watoto; Mbeya Jiji (5), Kyera (2) kwingine kote hakukuwa na kesi hizo.

Mkuu wa Dawati la Jinsia Mkoa wa Mbeya, Loveness Mtemi amesema “Fikiria makosa yote hayo na hapo ni kesi zilizoripotiwa Polisi, kuna wengine hawajafika Polisi kuripoti, je, jamii yetu ipoje?

"Watoto wanabakwa, wanalawitiwa, mimi na wewe tusimame, tuone hili ni tatizo."
Na wabakaji ni wazEe
 
Daah nimeshangaa sana aisee...

Takwimu ni kubwa sana utadhani wanafanya mashindano sema wanaamini sana ushirikina Vima hao...
 
Back
Top Bottom