Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Grouper-Fillet-export-from-vietnam-768x508.jpg

Samaki wa minofu na wa mapambo wamejaa tele ziwa Nyasa
 
Ukiingia mbeya vituo vya daladala kuanzia Uyole kwenda mbalizi ni kama ifuatavo unaanza Uyole, Kilimo, Agrey, Darajani, Nanenane, Sai, Ilomba, Ccm, Mama john, Soweto, kabwe, mwanjelwa, mafyati, Magorofani, Simike, Mbembela, Nzovwe, Njia Panda, Iyunga, Tazara, Ituta, Iwambi, Makasini, Tarafani.
 
Back
Top Bottom