Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

1581629190104.jpg
 
Hakuna mji mbinguni wala duniani uliojaa makolo kamba mbeya
 
oh wadau natafuta Shamba heka 1 niko Mbeya liwe sehemu nzuri i nayofikika vizuri na access ya maji kwa umwagiliaji
 
Hapana mimi sio wa mbeya Chief ila muonekano umekaa kimbeya mbeya kabisa 90%..

Yes mbeya sijawahi kufika(nafikiri ni kwakuwa sijawahi kuwa na watu wakaribu huko).natamani kufika Lushoto,Mbeya,Iringa na Njombe tukijaaliwa uzima na afya
Please accept my offer bibie

Nitakupeleka kote huko baada ya tripu yangu ya Zanzibar (Ndiyo unipokeage kesho 🙈🙈)
 
Kama ni soda na Juice basi iwe ya Thughimbe au Mkulu angalau isogelee bei ya Savannah [emoji3]

Itabidi niombe ruhusa ya Jacky sio??[emoji3][emoji3]
Mimi ni juice na soda tu!
Nikiongeza sana basi ni Grand Malt.

Ruhusa ya Jack muhimu [emoji23]
 
Back
Top Bottom