Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Our region is full of Green
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukajha kununuKukaja Nyumbani Mbeya Nimepamiss
Majamaa ya uyoleNani alikuchuna?
Nishindwe Mimi tu 😋🥂Asante 🥂
Natengeneza special thread ya uwanja ngoma. Ile ni story kubwa tangu enzi za Jah People, Jogoo Basha, Snow White, Forest, VOLCANO etcBujibuji ujaweka Uwanja Ngoma Soko Matola aka Uswahilini.
Wee usiniambieNishindwe Mimi tu 😋🥂
Nitafanya bibieMimi ni juice na soda tu!
Nikiongeza sana basi ni Grand Malt.
Ruhusa ya Jack muhimu [emoji23]
Spiritual strength, sio nguvu za Kusukuma buldoza la minyororo ya chuma kwa mikono yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona wengine hatuna nguvu
Walikuchuna?Majamaa ya uyole
Hahaha....hakuna furaha kubwa kwangu kama kupata No objection kwenye hilo🥂🕺🏻😋Wee usiniambie
Oh hapo sawa.Spiritual strength, sio nguvu za Kusukuma buldoza la minyororo ya chuma kwa mikono yako
Hapo ni Kalobe sio itende
Ng'ambo upande wa kushoto si ni itende au!Hapo ni Kalobe sio itende
ITENDE IPO MBALI SANA HAPO ...mbembela ipo nzovwe Ila imepakana na jeshi la itende ...Kalobe ni kubwa aisee mpaka watu wanaiita ITENDENg'ambo upande wa kushoto si ni itende au!
Nimeopaita nzovwe maana ni jina linalobeba hilo eneo lote(Kalobe+Mbembela)
Mimi huwa ndhani itende&nzovwe ndiyo majina yanayobeba mtaa mzima huoITENDE IPO MBALI SANA HAPO ...mbembela ipo nzovwe Ila imepakana na jeshi la itende ...Kalobe ni kubwa aisee mpaka watu wanaiita ITENDE
Umependa kutokua nazo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona wengine hatuna nguvu
Yaani unamaanisha nguvu za mwili ?Umependa kutokua nazo