Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akhsante sana, nikifika Nane nane nitakucheki bibie tufungue Champagne pamoja [emoji898][emoji1635][emoji39]
View attachment 1721988
Madyulisi
MAFYULISI!!!
View attachment 1722056
Makande na kijiko chake cha mgomba (ndundu)
View attachment 1722179
Vibama, Ni vitamu sana. Mbeya is the most blessed land
Ukiingia mbeya vituo vya daladala kuanzia Uyole kwenda mbalizi ni kama ifuatavo unaanza Uyole, Kilimo, Agrey, Darajani, Nanenane, Sai, Ilomba, Ccm, Mama john, Soweto, kabwe, mwanjelwa, mafyati, Magorofani, Simike, Mbembela, Nzovwe, Njia Panda, Iyunga, Tazara, Ituta, Iwambi, Makasini, Tarafani.
View attachment 1722188
Mecco Sports Club ilitamba sana miaka ya tisini ikiziabisha timu kubwa za Simba na Yanga
Amatando!
Penyewe mkuuSaut hii
Mbeya ulikuwaga mji wa wana hiphop. Ukifuatilia wanahiphop wenhine wazamani walisoma au kuishi Mbeya. Sijui hiphop ilipotelea wapi, eti saa hizi Chuga ndiyo mji wa hiphop! Watu wa Mbeya tunawachora tunasema hiii!View attachment 1722194
C Pwaa na Adili Mkwela a k a Chapakazi zama za kale za mawe. Mbeya ni Hip Hop city
Ahsante kwa kutukumbusha nyumbani, lakini nakumbuka kama mwambipiles zilikuwa layland! Siyo benz.
Hatari sana,kipidi hiko
Na uchiludi🤺
Mwee 🏃 nyoka kwenye tranka 😳
Leo hiyo IsyesyeMwee 🏃 nyoka kwenye tranka 😳