Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mkumbushie na dhahabu ya Chunya, msisahau kiwira mazagazaga, msisahau Usipa, nawakumbusha mawese ya kyela, msisahau nyanya chungu na viazi, msisahau senjele ndugu zangu haya ni mambo muhimu muwakumbushe watu
Chunya the golden city

Mitaa inanijua huko
 
Tumogheleeee
1581653442273.jpg
 
Ng'ambo upande wa kushoto si ni itende au!
Nimeopaita nzovwe maana ni jina linalobeba hilo eneo lote(Kalobe+Mbembela)
Nilitoka nzovwe kwenda kwenda isanga kwa miguu, nimefika isanga nakuja kukumbuka nimesahau rasket yangu nzovwe ikanibidi nirudi tena kwa mguu kuifata na kurudi tena isanga kwa mguu

Katika carrier yangu yote ya kutembea hiyo ndio ilikiwa safari yangu ndefu na yenye msoto
 
Hahahaha
Aiseee
Nzovwe hadi Isanga[emoji119]
 
Karibu tena boss [emoji4]
Wakati niko mbeya nilikiwa napenda sana kutoka na wanangu tunaenda kona za mkoa, tuna have fun kule maeneo ya kawetele kiukweli panavutia sana pale. Hali ya hewa ilivyokuwa ya pale inanishangaza

Nilikuwa napenda sana kula karoti basi nikifika pale nakata stimu kabisa kiukweli mbeya naikumbuka kwa mengi
 
Ukiingia mbeya vituo vya daladala kuanzia Uyole kwenda mbalizi ni kama ifuatavo unaanza Uyole, Kilimo, Agrey, Darajani, Nanenane, Sai, Ilomba, Ccm, Mama john, Soweto, kabwe, mwanjelwa, mafyati, Magorofani, Simike, Mbembela, Nzovwe, Njia Panda, Iyunga, Tazara, Ituta, Iwambi, Makasini, Tarafani.

Jb Waden umeisahau mkuu..[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom