Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Natengeneza special thread ya uwanja ngoma. Ile ni story kubwa tangu enzi za Jah People, Jogoo Basha, Snow White, Forest, VOLCANO etc
Wachezaji kama Masoksi, Castrol Patrick Mwakakonyole, Tiba Abdala, Lobo etc
Nakuja kivingine hommie
Umesahau kumpa heshima marehemu Mbamba Uswege kutoka Forest.
 
Uswazi family watoto wa Soko Matola, waliimba ni kosa la marehemu baba akuvaa kondomu. Baadhi huwa nawaona duka la Kisangani Auto Spare Part Kariakoo.
 
Katika mboga za majani Mbeya hii ni ghali sana. Naikubali sana hii mboga. Halafu hii lazima itakuwa ni dawa.

View attachment 1723112
800px-Solanum_nigra_bgiu.jpg
View attachment 1723111
 
Back
Top Bottom