Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Umeandika kama unasoma shule za kata mkuuNyumba zimesongamana, barabara nyembamba, wafanyabiashara ndogo ndogo hasa kina mama wamejaa kando kando ya barabara, msongamano wa bajaji na boda boda, vibaka
Barabara nyingi ni mbovu, vitu vyote hivyo vinafanya isionekane kama jiji
Dah! Sorry mkuu! Mimepita sana pale wakati naenda kupanda treni ya TAZARA. ππMbona hujaitaja Iyunga mkuu?[emoji848]
Dah mbembela tajiri wa mbalizi enzi hizo ana kituo cha mafuta na mabasi(scania)enzi za vitu og limebaki jina tu!Wapi Nzovwe! Wapi Kalobe! Wapi Mbembela! Wapi Mwanjelwa, wapi ukumbi wa Dhando! Sokomatola, Meta, Mama John, Mbalizi, Simike, dah!! Mbeya patamu sana.
Niliishi hapo miaka 20 iliyopita. Na nilikuwa ni mteja mzuri sana wa kile kipimo cha Ndonya wakati nanunua mchele, nk.
Itakuwaje kivipi?Mbeya haina hadhi ya jiji
Ni mji mkubwa tu
Hivi na Mbeya wakizuia bajaji zisiingie mjini itakuwaje
Enzi hizo kuna ukumbi mwingine wa Kwenzulu, tulikuwa tunaenda kuwavizia watoto wa Loleza πππ
Enzi hizo jeans pana kwa tshirt au shati ya mikono mifupi na raba, ndiyo ilikuwa habari ya mjini.
Kumbe sifa ya jiji ni kutokuwepo vibaka!?Nyumba zimesongamana, barabara nyembamba, wafanyabiashara ndogo ndogo hasa kina mama wamejaa kando kando ya barabara, msongamano wa bajaji na boda boda, vibaka
Barabara nyingi ni mbovu, vitu vyote hivyo vinafanya isionekane kama jiji
Nimekuelewa mkuu wanguDah! Sorry mkuu! Mimepita sana pale wakati naenda kupanda treni ya TAZARA. [emoji16][emoji16]
Hajitambui huyo achana nae mkuuKumbe sifa ya jiji ni kutokuwepo vibaka!?
unaonaje siku moja Serikali ikatwaa maeneo yote kuanzia soko matola, ghana, Nonde na majengo. tena nyumba zile fidia yake itakuwa ndogo sana, halafu serikali ijenge apartments au hata condominiums za kuuza kwa raia, zijengwe kwa mpangilio na waweke na gardens pawe kijani kama ilivyo mbeya yetu (green city), naamini watu wengi watanunua au watapanga kwasababu maeneo hayo ni karibu na city centre na ni rahisi kufika kabwe/mwanjelwa/sido etc. I can't wait ifike December niende zangu Rungwe chrismass!Mimi kwetu nikitaka kufika nyumbani siwezi enda na gari maana nyumba zimejazana hakuna njia ya kuingia gari hadi nyumbani...napaki barabarani na kwa jiraniπ..wapi njia panda ya halengo kuelekea kanisa la Roman Catholic ...Pastor mwakaloboπ.....parking Mbembelaπππππ
Mkuu, kumbe wewe umesoma Loleza, itakua "iko namna kati yetu" maana mie nimesoma Iyunga Tech siku hizoUmenikumbusha mbaliiiii. Ndio nyie mlikua mnatusumbua pale lolezaπ π π
Mimi nimemaliza Mbeya technical mwaka 1994Mkuu, kumbe wewe umesoma Loleza, itakua "iko namna kati yetu" maana mie nimesoma Iyunga Tech siku hizo
Mabatini wapi,, Mbalizi roadWapi Nzovwe! Wapi Kalobe! Wapi Mbembela! Wapi Mwanjelwa, wapi ukumbi wa Dhando! Sokomatola, Meta, Mama John, Mbalizi, Simike, dah!! Mbeya patamu sana.
Niliishi hapo miaka 20 iliyopita. Na nilikuwa ni mteja mzuri sana wa kile kipimo cha Ndonya wakati nanunua mchele, nk.
Mkuu vaa barakoa kila utokapo na urudipo nyumbaniMimi nimemaliza Mbeya technical mwaka 1994
Mama D nataka ghetto la kupanga mbeyaUmenikumbusha mbaliiiii. Ndio nyie mlikua mnatusumbua pale lolezaπ π π
humu ndani tuna watu wazee sana. mbeya tech mwaka 1994?Mimi nimemaliza Mbeya technical mwaka 1994