Mbeya, Ooh! My dear Mbeya!

Mbeya, Ooh! My dear Mbeya!

Nyumba zimesongamana, barabara nyembamba, wafanyabiashara ndogo ndogo hasa kina mama wamejaa kando kando ya barabara, msongamano wa bajaji na boda boda, vibaka
Barabara nyingi ni mbovu, vitu vyote hivyo vinafanya isionekane kama jiji
Umeandika kama unasoma shule za kata mkuu
 
Kwa bongo nimeishi mikoa 10,, Ila mpaka sasa sehemu bora ninayo ikumbuka sna ni Mbeya ( Aisee viwanja vya friends, city pub,maisha) nazikumbuka sna vyakula + hali ya hewa ingawa mwanzo nilipata shida sna

Sehemu nyingine bora kbsa kwangu ilikua Namanyere wilaya ya Nkasi aisee izi sehemu nazikumbuka hadi Kesho
 
Wapi Nzovwe! Wapi Kalobe! Wapi Mbembela! Wapi Mwanjelwa, wapi ukumbi wa Dhando! Sokomatola, Meta, Mama John, Mbalizi, Simike, dah!! Mbeya patamu sana.

Niliishi hapo miaka 20 iliyopita. Na nilikuwa ni mteja mzuri sana wa kile kipimo cha Ndonya wakati nanunua mchele, nk.
Dah mbembela tajiri wa mbalizi enzi hizo ana kituo cha mafuta na mabasi(scania)enzi za vitu og limebaki jina tu!
 
Mbeya nimekaa jacaranda na block T

BLOCK T kulikuwa tulivu sana

Ova
 
Enzi hizo kuna ukumbi mwingine wa Kwenzulu, tulikuwa tunaenda kuwavizia watoto wa Loleza 😁😁😁

Enzi hizo jeans pana kwa tshirt au shati ya mikono mifupi na raba, ndiyo ilikuwa habari ya mjini.

Umenikumbusha mbaliiiii. Ndio nyie mlikua mnatusumbua pale loleza😅😅😅
 
Nyumba zimesongamana, barabara nyembamba, wafanyabiashara ndogo ndogo hasa kina mama wamejaa kando kando ya barabara, msongamano wa bajaji na boda boda, vibaka
Barabara nyingi ni mbovu, vitu vyote hivyo vinafanya isionekane kama jiji
Kumbe sifa ya jiji ni kutokuwepo vibaka!?
 
Mimi kwetu nikitaka kufika nyumbani siwezi enda na gari maana nyumba zimejazana hakuna njia ya kuingia gari hadi nyumbani...napaki barabarani na kwa jirani😛..wapi njia panda ya halengo kuelekea kanisa la Roman Catholic ...Pastor mwakalobo😀.....parking Mbembela😎😎😎😎😎
 
unaonaje siku moja Serikali ikatwaa maeneo yote kuanzia soko matola, ghana, Nonde na majengo. tena nyumba zile fidia yake itakuwa ndogo sana, halafu serikali ijenge apartments au hata condominiums za kuuza kwa raia, zijengwe kwa mpangilio na waweke na gardens pawe kijani kama ilivyo mbeya yetu (green city), naamini watu wengi watanunua au watapanga kwasababu maeneo hayo ni karibu na city centre na ni rahisi kufika kabwe/mwanjelwa/sido etc. I can't wait ifike December niende zangu Rungwe chrismass!
 
Daah !! Lazima nitakuwa nakujua maana hiyo ndio mitaa yangu 1980 - 2009...

Machinjioni ( nonde ), mbata, majengo ( mtaa wa kwanza ) na soko matola ndio ilikuwa mitaa yangu.
 
Wapi Nzovwe! Wapi Kalobe! Wapi Mbembela! Wapi Mwanjelwa, wapi ukumbi wa Dhando! Sokomatola, Meta, Mama John, Mbalizi, Simike, dah!! Mbeya patamu sana.

Niliishi hapo miaka 20 iliyopita. Na nilikuwa ni mteja mzuri sana wa kile kipimo cha Ndonya wakati nanunua mchele, nk.
Mabatini wapi,, Mbalizi road
 
Back
Top Bottom