Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Bajaji nyingi??Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa.
Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!