Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Wivu wa kijinga kabisa unasahau kilichokupeleka shule unafuata mboo ona sasa bint mdogo ananyea ndoo
 
Mademu wanaopenda kiasi hicho kumbe bado wapo........ Hawa ndio mademu, demu anaye hakikisha ni hadi kifo kiwatenganishe....
Ni kawaida vitoto miaka 14-20 huwa vinaupendo ule wa moyoni na hapo hawaamini kama kuna mwanaume mwingine zaidi wa aliye nae, very sad.
 
Tena habari zingine kutoka kwa mashuhuda wa karibu kabisa walio mpeleka dogo hospitali zinadai binti baada ya kumjeruhi jamaa alichomoa hicho alicho mchoma nacho, akafanya usafi na kumbadili nguo majeruhi kisha akapiga simu kwa marafiki wa jamaa kuja kumpeleka hospitali akidai hajui amekutwa na Nini. Mwili wa jamaa umeenda kukutwa na jeraha hospitali ndipo mashaka yalipo anzia.
 
Likishatokea kila mtu atatoka na lake, taarifa nyingine zinasema dogo (Linus) alikuwa akiishi na brother ake (brother ake anasoma MUST pia) kakake kajikita kwenye imani ya dini hivyo mienendo ya Jaluo Linus kidogo akawa hapendezwi nayo hivyo kupelekea kutofautiana kauli dogo kaamua kwenda kuishi na bibie room moja.
Na inasemekana mama yake hadi
kumfikisha kijana wake level hiyo ya elimu amekuwa akihangaika huku na kule hadi kupelekea kupitisha bakuli kwa wasamaria wema ili kijana Linus aweze kwenda chuo baada ya baba yao kutangulia mbele ya haki.
R.I.P Linus.
 
Aisee! Mapenzi noma sana, ona sasa binti mdogo wa miaka 19 anaingia gerezani kisa mapenzi tu! Wakati mishedede imejaa kibao uraiani. [emoji2817][emoji2817][emoji2817]
 
Watoto wadogo " daahh


Kuruka stage hakujawahi kumuacha mtu salama
 
Yaan vijana wa vyuo miaka hii Mapenzi yamekuwa too much compare na miaka ya nyuma... Pita jioni hadi usiku usiku mitaa kuanzia mlimani city kuja hizo hostel za mheshimiwa hadi ubungo mataa it's time for couple kila hatua couple...
Hahaha
 
Kwakweli
 
Huenda jamaa alikuwa anakakojoza kisawa sawaaaa... na hivi bado hakaja komaa... na miki miki kakaona kakiachwa nani atakakojoza tena.. lakini nyuma yake kuna mystery
Naam hii moment ni mbaya sana acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…