Mbeya raha sana wakuu

Mbeya raha sana wakuu

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Niko uyole hapa napiga vyombo

Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=

Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=

Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=

Boda bei ni buku tu.

Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
 
Vijana wa dar baada ya kusoma uzi wako:
20250122_174434.jpg
 
Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=

Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Ata moro Town hakuna shida Rodge 15000 maji moto+baridi njoo ndan maisha mswano tu mkuu
 
Back
Top Bottom