Mbeya: RC Chalamila ameonya waandishi wa habari kuacha kutumia maneno ''kifo cha ghafla'' wanapoandika habari za msiba

Kuna nafasi za uongozi hazina kabisa maana kwa mazingira ya sasa zinafaa zifutwe.
 
Hapo alipo simama kwenye kisemeo amesha tamka "kifo cha ghafla cha mheshimiwa jiwe"

Sasa utamke wewe ashikwe mwingine kwanza tulikuwa hatujui kuwa ni ghafla umetusaidia..haya jamanieeee..

"Jiwe kafa ghafla"" niko hapa kyera njooni mnikamate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…