Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Alrighty.I've never claimed the West is perfect or Africa is pure Hell. There is nuance in all sides
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alrighty.I've never claimed the West is perfect or Africa is pure Hell. There is nuance in all sides
Nikuoe basi kama unatetea machokoUjinga mtupu, hiyo BANANA COURT inahukumu watu SUMMARILY bila hata ushahidi?
Kesi gani inaendeshwa kwa siku moja bila kuzingatia ushahidi wa kidaktari na kitaalamu?
This is a WRONG PLEA OF GUILTY which needs to be QUASHED.
Huyu hakimu anatembea na upepo ili aonekane anapinga ushoga. Amulikwe.
Sio haki kumfunga mtu kisa tu ametumia mwili wake kufanya mapenzi atakavyo. Kama kuna sheria inayosema hivyo, ni sheria BATILI.
Akate rufaa haraka.
Wangempima kwa vidole viwili...ili kuthibitisha.Wala hakutaka kusumbua mahakama
🤣🤣🤣 sasa sijui huwa wanawaza nini akili mwao!! Ni ajabu sana, hivi kwa akili za kawaida tu unakubali kua uliingilwa huku ukijua unalimwa nyundo kibao.Kweli awa watu haziwatoshi hata lindi shoga alikubali kosa mahakamani akalimwa miaka 30
Hata USA kuna majimbo haswa southern states bado Uki kutwa unafanya live ufirauni wa kishoga utakuwa na kesi ya kujibu kisheria.
🤣🤣🤣🤣🙌Pisi zilivyojaa mtaani zingine zinatutafuta love connect naanzaje kumpumulia kidume kisogoni 🤣🤣
Siku hizi wanabanwa hadi wanakubali makosa kwa maandishi, wakienda huko kesi inaisha mapemaAmekiri kosa,ulitaka mahakama ifanye nini tena
That being the case, be as gay as you wish. Have a nice day!Acha uongo hayo majimbo yote it was legal since 2003 kw case ya Lawrence vs Texas; no single state in US is illegal to be gay
Kwamba umfukue tope [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikuoe basi kama unatetea machoko
That being the case, be as gay as you wish. Have a nice day
Hii kesi naikumbuka hata kabla haijenda Supreme Court enzi zile za youngafricans forum. Its sad the decision ended the way it did. But all in all, in real life, a majority of Americans are not comfortable with gays having rights and freedoms like normal heterosexual couples Moreover, despite this supreme court ruling, the gay life style is still taboo and unacceptable in most states in the american south including Texas.I was just stating facts; didn't comment anything on private life. Have a nice day too.
Ila na waliomla witi nao watafutwe wahukumiweMahakama ya wilaya ya kyela imemtia hatiani na kumhukumu miaka 30 jela mshitakiwa aliefahamika kwa jina la claud Alex Mwinuka alimaarufu kama kibakuli(22) mkazi wa mwanganyanga kyela kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.
Akizungumza mahakamani hapo Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya kyela Paul Mabula Barnabas amesema kuwa mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapa leo tar 6/4/2022 kwa kosa la kuruhusu mwanaume kumuingilia kinyume na maumbile ikiwa ni kinyume cha kifungu cha 154 kifungu kidogo cha kwanza C cha sheria ya kanuni ya adhabu kama ilivyorekebishwa mwaka 2022.
Baada ya kusomewa mashtaka hayo,mshtakiwa akakili kosa na baada ya kukili mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela.
Itakumbukwa video za kijana huyo zilisambaa katika mitandao ya kijamii siku chache zilizopita ikiwa amevaa mavazi ya kike usiku wa manane pindi alipokamatwa na vikundi vya ulinzi shirikishi maarufu kama sungusungu.View attachment 2578736
Hawa jamaa ni balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa sijui huwa wanawaza nini akili mwao!! Ni ajabu sana, hivi kwa akili za kawaida tu unakubali kua uliingilwa huku ukijua unalimwa nyundo kibao.
Kosa halina hata ushahidi jitu linakubali, ndio maana wadau wanasemaga wapigwe shaba tu, naanza kuwaelewa sasa.