Mbeya tunaumia Sana Umeme kutokuwepo. Viongozi hamueleweki

Mbeya tunaumia Sana Umeme kutokuwepo. Viongozi hamueleweki

Ustaadhi 22

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2021
Posts
996
Reaction score
1,907
MBEYA Umeme haupo Kila Siku unakatika Serikali Acheni mizaha. Hii Ni aibu Sana Kwa Serikali,, mnapiga porojo tuu.
 
MBEYA Umeme haupo Kila Siku unakatika Serikali Acheni mizaha. Hii Ni aibu Sana Kwa Serikali,, mnapiga porojo tuu.
Sidhani kama nchi hii kuna sehemu kuna mgao mkali wa umeme kama Mbeya! Sijui wameikosea nini Tanesco/Serikali
 
A failed rogue state. Na mambo yanaenda tu utadhani hamna tatizo.
 
Back
Top Bottom