Mbeya umeme unakatika kila siku zaidi ya masaa matano, mnatuumiza

Ustaadhi 22

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2021
Posts
996
Reaction score
1,907
Habari wana jukwaa,

Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana.

Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu nasi tumezidi kuingia hasara Biashara Zetu
 
Samia anachukua Sana unalotoa reference ya mafanikio ya Dr Magufuri
 
Huyu mama hata haeleweki ana nia gani na watanzania...kwa mdomo anawapenda ila kwa vitendo anatumaliza kabisa. Wale mawaziri bora katika utendaji(mfano Kalemani)amewaondoa wote na kuweka vibwengo.
 
Habari wana jukwaa,

Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana.

Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu nasi tumezidi kuingia hasara Biashara Zetu
Vita vya yukraine
mama mtulivu.

Tanesco bila kuwajibishana pagumu sana hapo
 
Huko ukerewe jamaa alipata hasara ya Tsh 45 million baada ya samaki kuoza Kwa kukosekana umeme Kwa mda wa masaa 16...usiniulize kama hakuwa na standby generator au mabarafu
 
Huyu mama hata haeleweki ana nia gani na watanzania...kwa mdomo anawapenda ila kwa vitendo anatumaliza kabisa.
Wale mawaziri bora katika utendaji(mfano Kalemani)amewaondoa wote na kuweka vibwengo.
Mpaka sasa haujajulikana muelekeo wake. Ni kama vile bora liende.
 
Nadhani ni kwa sababu Mbeya kuna wapinzani wengi wa Serikali ya Chama tawala
 
Mbona muda mfupi sana huo,kuna mikoa ni 12hrs kila siku toka 26/08/2023.
 
Huyu mama hata haeleweki ana nia gani na watanzania...kwa mdomo anawapenda ila kwa vitendo anatumaliza kabisa.
Wale mawaziri bora katika utendaji(mfano Kalemani)amewaondoa wote na kuweka vibwengo.
Kabisaaa,, Mimi simuelewi Huyu Bibi
 
Kwa hiyo unawezaje kuelezea mgao wa umeme pasipo kuhusisha serikali iliyo na chama chenye hatamu tangu 1977?
Kuondoa hicho chama ni mpango wa muda mrefu ambao hadi sasa haujafanikiwa ila hatuwezi kukaa tu et tunasubiri hadi ccm itoke madarakani ndio tuondoa tatizo la umeme wa mgao.
 
Suluhisho la kukatakata kwa umeme Mbeya ni Katiba mpya tu..
 
Habari wana jukwaa,

Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana.

Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu nasi tumezidi kuingia hasara Biashara Zetu
Pole san ndugu mwananchi, kilio chenu tumekisikia tunakesha ucku kucha kuhakikisha mnapata umeme wa uhakika kufikia 2090! Ahsnt
 
Back
Top Bottom