Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Kwanini tunapenda kuwaza uchaguzi tu kuwa ndio suluhisho?Uchaguzi ujao wapeni tena kura CCM...
Samia anachukua Sana unalotoa reference ya mafanikio ya Dr MagufuriHabari wana jukwaa,
Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana.
Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu nasi tumezidi kuingia hasara Biashara Zetu
Vita vya yukraineHabari wana jukwaa,
Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana.
Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu nasi tumezidi kuingia hasara Biashara Zetu
Mpaka sasa haujajulikana muelekeo wake. Ni kama vile bora liende.Huyu mama hata haeleweki ana nia gani na watanzania...kwa mdomo anawapenda ila kwa vitendo anatumaliza kabisa.
Wale mawaziri bora katika utendaji(mfano Kalemani)amewaondoa wote na kuweka vibwengo.
Kwanini tunapenda kuwaza uchaguzi tu kuwa ndio suluhisho?
Kabisaaa,, Mimi simuelewi Huyu BibiHuyu mama hata haeleweki ana nia gani na watanzania...kwa mdomo anawapenda ila kwa vitendo anatumaliza kabisa.
Wale mawaziri bora katika utendaji(mfano Kalemani)amewaondoa wote na kuweka vibwengo.
Kuondoa hicho chama ni mpango wa muda mrefu ambao hadi sasa haujafanikiwa ila hatuwezi kukaa tu et tunasubiri hadi ccm itoke madarakani ndio tuondoa tatizo la umeme wa mgao.Kwa hiyo unawezaje kuelezea mgao wa umeme pasipo kuhusisha serikali iliyo na chama chenye hatamu tangu 1977?
Pole san ndugu mwananchi, kilio chenu tumekisikia tunakesha ucku kucha kuhakikisha mnapata umeme wa uhakika kufikia 2090! AhsntHabari wana jukwaa,
Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana.
Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu nasi tumezidi kuingia hasara Biashara Zetu
Si ndio hapo sasa!!Kwanini tunapenda kuwaza uchaguzi tu kuwa ndio suluhisho?
Kwa hiyo kwa vile jana "umebakwa", leo ukibakwa tena hupaswi kulalamika na kuchukua hatua usibakwe tena!!???Wewe tangu uzaliwe mwaka huu ndio umeona umeme unakatika?