Mbeya: Viongozi wa dini waongoza maombi ili kuzuia ajali Inyala

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hi gentlemen and ladies!
Hapo chini kuna video ya viongozi wa dini waliokusanywa na viongozi wa serikali kwenda kukemea ajali huko Inyala Mbeya.

Hapo serikali ambayo inakusanya kodi ilipaswa kupanua barabara, kuondoa vichocheo vya ajali na kuweka alama muhimu za barabarani.

Ina maana wataalamu wa ndani wameshindwa kuainisha vyanzo vya ajali Inyala Mbeya?

Je, tumeshindwa kukodi wataalamu wa nje pia kama hawa wa ndani wameshindwa?

Tanzania, Tanzania where are you?
Your browser is not able to display this video.
 
Jambo jema jamani ! Kuna ubaya gani kumuomba Mungu aingilie kati?
 
CEO wangu wa Tanroads pls tembelea Zambia na uone wenzetu walivyojenga hizi pass, hasa ile inayoelekea na mpaka wa zambia na Zimbabwe (few km before chilundu border),then rural hadi cape Town SA,angalia lile jimbo la western cape walivyojenga zile pass, maana wanazo nyingi mno definitely ukirudi hapa nchini utakuja na mawazo mpya Inyala pass inahitaji science SIO ujinga wa hawa viongozi wa dini
 
NINAANGALIA HAO WAJINGA WA DINI YANGU WALIYOITUNDIKA MIKANZU IMESHIKANA MIKONO... SIJUI NI IBADA WA WAPI HIYO?
 
Waweke matuta... weka askari... weka tochi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…