KERO Mbeya: Vyoo vya Uwanja wa Sokoine ni vichafu sana, wahusika hamjali afya za Wateja wenu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mitano Tena Kwa saa100 na Tulia
 
Wamiliki wa uwanja ni ccm, nenda sokomatola kwenye ofisi yao
CCM ndio zao hizo, kuishi na kumiliki mali chafu kwao sio shida....BTW wachafuaji vyoo si hao hao wanaovitumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…