DOKEZO Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Juzi kati hapa wamemwaga vipodozi kisha wakaondoka,Sasa ndugu zangu wakavisomba na kuanza kuwauzia raia kitaa
Sipati picha fikiria hizo bidhaa ziliokotwa na wahuni wa congo(vipodozi) dampo huko.alafu waka fanyia package nakuuza tanzania.nawabongo baada ya kuztupa zkarudi kitaa😂😂😂😂mamaeeh nisumu juu ya sumuu.
 
Ufisadi mbaya sana

wanakula Pesa ya petroli ya kuchomea bidhaa feki / zilizoharibika

wanapiga pesa za kuwalipa vibarua wa kuchoma taka

Walinzi wa dampo njaa kali, wanapewa rushwa ya elf 30 bidhaa zinarudi mtaani
 
Yaani ni hatari
 
Ni shida
 
Hata dar Kuna dampo kampuni ya kuku hupeleka wale ma broiler walio kufa kwa kukanyagana au vyovyote vile..

Wadau huokota na kuwafanyia recycling kuwarudisha mtaani kwa matumizi
 
Back
Top Bottom