The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa wagombea kutoka vyama vya upinzani kushiriki katika zoezi hili.
Huenda kukawa na malalamiko mengi zaidi mpaka kuelekea mwisho wa zoezi la kuchukua na kurejesha fomu hasa kutoka kwa vyama vya upinzani kutokana na vikwazo wanavyowekewa katika zoezi hili na kulifanya kutokuwa huru na haki.