Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tuwashughulikie hawa majangili wa mali za ummaAkili ya kawaida inaelekeza kwamba; ukitaka kumshughulikia mwenye mbwa, dhibiti mbwa kwanza.
Ukibaki ukilalamika huku mbwa anakung'ata utakuwa mjinga.