The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Member!Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa wagombea kutoka vyama vya upinzani kushiriki katika zoezi hili.
Huenda kukawa na malalamiko mengi zaidi mpaka kuelekea mwisho wa zoezi la kuchukua na kurejesha fomu hasa kutoka kwa vyama vya upinzani kutokana na vikwazo wanavyowekewa katika zoezi hili na kulifanya kutokuwa huru na haki.
View attachment 3139176
Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa wagombea kutoka vyama vya upinzani kushiriki katika zoezi hili.
Huenda kukawa na malalamiko mengi zaidi mpaka kuelekea mwisho wa zoezi la kuchukua na kurejesha fomu hasa kutoka kwa vyama vya upinzani kutokana na vikwazo wanavyowekewa katika zoezi hili na kulifanya kutokuwa huru na haki.
View attachment 3139176
acheni kulia lia mlitegemea nini hao wasimamizi ni makada wa ccm na badoMtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa wagombea kutoka vyama vya upinzani kushiriki katika zoezi hili.
Huenda kukawa na malalamiko mengi zaidi mpaka kuelekea mwisho wa zoezi la kuchukua na kurejesha fomu hasa kutoka kwa vyama vya upinzani kutokana na vikwazo wanavyowekewa katika zoezi hili na kulifanya kutokuwa huru na haki.
View attachment 3139176
Tuliwaonya MBOWE na CHADEMA yake wasusie uchaguzi akabisha, ona sasa kinachoendelea.Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa wagombea kutoka vyama vya upinzani kushiriki katika zoezi hili.
Huenda kukawa na malalamiko mengi zaidi mpaka kuelekea mwisho wa zoezi la kuchukua na kurejesha fomu hasa kutoka kwa vyama vya upinzani kutokana na vikwazo wanavyowekewa katika zoezi hili na kulifanya kutokuwa huru na haki.
View attachment 3139176
Huyo ni takataka kabisa! Piga kama kibaka! Jiwe yule mwehu aliiharibu sana hii nchi kama ya mamake!Poleni ila msipoteze muda zaidi, kwani nyumbani kwake hamkujui? Ikibidi zipeleke mmwachie mke wake au watoto wake ila muombe polisi wawasindikize kwake. Naamini hiyo lugha atailewa vizuri sana.
Atakuwa kapewa maelekezo na serikali akimbieMtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote.
Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa wagombea kutoka vyama vya upinzani kushiriki katika zoezi hili.
Huenda kukawa na malalamiko mengi zaidi mpaka kuelekea mwisho wa zoezi la kuchukua na kurejesha fomu hasa kutoka kwa vyama vya upinzani kutokana na vikwazo wanavyowekewa katika zoezi hili na kulifanya kutokuwa huru na haki.
View attachment 3139176
CCM ni wajinga snKumeanza kuchangamka
Hapa siyo CCM moja kwa moja.Aibu kubwa ya CCM
Ni kukosa akili tu ndiyo kuna tusumbua, Mchengerwa ndiyo msimamizi mkuu wa uchaguzi na ni CCM na anataka wagombea wake washinde na hao watumishi wapo chini ya TAMISEMI, nani anatoa maelekezo kama siyo Mchengerwa? kwanini wasinyimwe basi na wagombea wa CCM kama tatizo ni watumishi?Hapa siyo CCM moja kwa moja.
Watumishi wa uma wanatakiwa wasioneshe upendeleo au ushabiki wa vyama kwa mujibu wa sheria.
Kwa hiyo, njia rahisi na yenye ufanisi ni kuwashughulikia hao watumishi wapuuzi na wahalifu kibinafsi zaidi.
Nguvu stahiki yaweza kutumiwa pia dhidi yao kwa sababu ni wahalifu na maadui wa uma.
Akili ya kawaida inaelekeza kwamba; ukitaka kumshughulikia mwenye mbwa, dhibiti mbwa kwanza.Ni kukosa akili tu ndiyo kuna tusumbua, Mchengerwa ndiyo msimamizi mkuu wa uchaguzi na ni CCM na anataka wagombea wake washinde na hao watumishi wapo chini ya TAMISEMI, nani anatoa maelekezo kama siyo Mchengerwa? kwanini wasinyimwe basi na wagombea wa CCM kama tatizo ni watumishi?