Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

Nyie ndio mnaomwaga kabla kupokea kumwagiwa upakoπŸ’¦πŸ’¦πŸ’¦πŸΈπŸΈπŸπŸ
Naona shemeji kisharudi nyumbani kakuwachia simu yake sasa unajifaraguwa.

Mwambie hongera shemeji yako hapo.
 
Huu mjadala wa kesi, mbona hakuna updates za leo, au 'wasomi" wamedondokea pua?

Wale jinsi walivyo walevi, isiijekuwa mahakimu wamewahukumu wawekwe ndani kwa kuingia mahakamani wamelewa?
 
Na majaji wetu watakuwa wa ajabu kusema hizo IGA ziko sahihi.
 
Miaka mitano tu watakuja kupata aibu ya Karne, watashangaa bandari itakavyokuwa yenye ufanisi, watashangaa bandari itavyochangia 50% + ya bajeti ya nchi, hakika watajidharau Kwa jitihada zao mfu za kupinga maendeleo.
Wee Dalali mpaka leo hujaelewa kinachobishaniwa, je huo mkataba utauelewa? Basi tulia wenye kuelewa wapambane kwa niamba yako.
 
Hizi ni siasa zimezoeleka hapa Tanzania. Ni malalamiko yasiyo na msingi. CCM wanakuwa karibu na wananchi muda wote. Hawaweki daraja kati yao na wapiga kura.

Wengi wanaolalamika hujuma ni maneno tu, wanakuwa ni wale kazi yao kulalamika mitandaoni na ujuaji mwingi wa kwenye maongezi.

Haiwezekani kila mbunge wa CCM akawa alifanya wizi kuingia bungeni, wapo karibu na wananchi miaka yote, wanafanya vikao na wananchi kujua shida zao, tofauti na wajuaji wanaolalamika na kukosoa mitandaoni mpaka uzee unawakuta.
 
Umeaminishwa upuuzi na wewe ukakubali kuwa wakala wa kuusambaza. Hakuna mahali pameandikwa kwamba Tanzania inauza uhuru wake kwa Dubai.

Mmeingizwa cha kike na nyinyi mazima kabisa mkiwa na akili zenu timamu mkakubali kuingia.
 
Hatujapata updates ya leo kuhusu mkataba au ndo mmeanza kuchoka nanyi
 
Unajidanganya, mwenzio yupo kujinufaisha kisiasa pale.
Sasa mimi hapo najidanganya nini na kwa faida ya nani? Mimi ninachoangalia mwendelezo wa Kesi na ninachoomba wafanikiwe, hayo mengine ya kujinufaisha, sijui kutafuta millage hayo hayanihusu
 
Miaka mitano tu watakuja kupata aibu ya Karne, watashangaa bandari itakavyokuwa yenye ufanisi, watashangaa bandari itavyochangia 50% + ya bajeti ya nchi, hakika watajidharau Kwa jitihada zao mfu za kupinga maendeleo.
hizo ni ndoto za alinacha, sio kwa waarabu. hawajawahi kupata akili hiyo hata siku moja.
 
Mama amekuwa kiburi kwasababu mali inakwenda kwa wajomba na kama yeye hakuna anachopoteza.

CCM inabidi ibadili katiba ya chama ya kuwa rais ndioe m/kiti wa chama, maana kama tutapata rais mjinga nchi itateketea
kwahiyo waarabu wanatuona sisi ndugu zaooo kwasababu ni wajomba mtu? mimi siwatambui kabisa na siwahitaji.
 
Na majaji wetu watakuwa wa ajabu kusema hizo IGA ziko sahihi.
shida ni kwamba mkataba ushaingiwa na bila shaka unaeleza kuwa kukiwa na shida yeyote sheria zinazotakiwa kutumika ni za uingereza. sasa nyie na visheria vya kitanzania mnafanya nini hapa? na kibaya zaidi magufuli alishasaini sheria inayosema wawekezaji wote watatumia sheria za Tanzania, lakini ccm wameingia mkataba kwa kutumia sheria za uingereza wakati ile sheria aliyosaini Magufuli haijafutwa.
 
Usilie basi
siliii bali nawwacheka hao mawakili wanao jiita wasomi halafu mpaka leo hawajui tofauti kati ya "MoU" na "Contract" halafu wanajiita mawakili wasomi!!
hawana hoja za kisheria zaidi ya kuokoteza maneno ya kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…