Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

the horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
652
Reaction score
442
Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu."

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
 
Blah Blah Blah kwa hiyo miaka yote ya chama dola kutawala nchi hii hawajawi kuwa na uwezo wa kifedha kujenga vituo hivi.

Politicians wa kitanzania ni mashetani wakubwa,few day's ago mlikuwa mnatamba tunajenga nchi yetu kwa fedha za ndani na pesa ipo but in a flip of coin serikali haina fedha.

Kweli mnanichukulia mimi kama half cup of coffee.
 
Back
Top Bottom